Lijualikali alivyomchefua spika bungeni

Mbunge Lijualikali alisema wabunge wenye akili kubwa walikuwa wakidai mikataba ya madini ina tatizo tangia mwanzo, na wenye akili ndogo wakawa wanawazomea na kuwakashifu, spika alionekana kukerwa na kauli hii na kumuonya


Spika jiti la muhogo limemuingia, povu linamtoka
 
Daima ukweli mchungu.

Angekuwa ni Mlinga au Lusinde anatukana ange ongezewa na dk za akili ndogo mwingine atukane zaidi!!
 
Ndugai ameshindwa kuficha mahaba yake dhidi ya CCM kama vile MAGUFULI alivyoshindwa kuficha mapenzi yake kwa CCM.

CCM wamebakia kupotosha kuwa wapinzani wanatetea wanyonyaji huku wakisahau kuwa wao ndio walikuwa mstari wa mbele kusimama upande wa "wawekezaji" kipindi kile wapinzani wakipinga hii mikataba ya kidhalimu.

Leo kuna mpaka maandamano ya CCM huko Mbeya kumpongeza Magufuli.

Upuuzi mtupu!

Kuna CD ninayo ya UTETEZI wa RASLIMALI, kipindi Zitto alipofukuzwa CHADEMA kwa ajili ya BUZWAGI, nitai-upload hapa kila mtu aone.
 
Spika anaumia namna hii anashindwa kuvumilia wapinzani wakichangia sasa kuna shida gani basi upinzani kubembelezwa kurudi bungeni kama wakisusia?? wakae wao tu peke yao na spika wao.,
 
HIZI AKILI KUBWA NA NDOGO ZIMEGAWANYIKA KICHAMA AU????
Ndiyo. Zimegawanyika kivyama, akili ndogo huwezi kugombea upinzani ukapita. Akili ndogo wote wako serikalini na kwenye chama tawala. Angalia hata wanasheria wa serikali kila siku wanabwagwa na wanashria wa kujitegemea.

Angalia
Shule binafsi
Makampuni binafsi
Hospitali binafsi
n.k
Yanafanya vizuri kuliko serikali inayoundwa na ccm
 
Back
Top Bottom