Mbona unaota Kweupe hivo mkuu...Tukutanane robo fainal ijayo ya CAF championship......wananchiiiii
Tema mate chini na uwe na Adabu ebooo.Ubora wa simba .....unatokana na ubora wa YANGA..... when it comes to the matter of competition
Acha kuishi kwa historia mzee......SIMBA mlifka ile stage kutokana na depression stage ya timu kubwa africa........so mkipata bahatiMbona unaota Kweupe hivo mkuu...
Itawachukua Miaka 10 ijayo kufika japo Robo fainali ya CAF Champions league plz mark my words.
Mnaidharau Simba kwa kua mnashinda nayo na Mpo ligi moja ila wenzenu wanavyoitaman hata National Team hamtaamin. Uto is Uto only.
#Simba#Nguvumoja.
Comment ya kipumbavu hii,mkuu unaushabiki wa kijinga sana unapiga promo ka uzi kako katembee kwa ubishi usio na kichwa wala miguuMlipata tu bahati ....kutokana na kuanguka kisoka kwa timu kubwa kipind kile
Mnabishana na chizi lililochamgamkaTema mate chini na uwe na Adabu ebooo.
Labda kabla hujanipigia kelele nenda club rankings in Africa, then uje na mipasho yako asse.
Nina wasiwasi na Uwezo wako wa kumbukumbu. Uwezo wa memori yako itakua 1KB lazimaaaaMlipata tu bahati ....kutokana na kuanguka kisoka kwa timu kubwa kipind kile
Sorry comrade, naishia hapo ful stopMnabishana na chizi lililochamgamka
Mkuu ...kwan kuna pesa yeyote inatolewa ....uzi ukiwa na comments nyng?.........Comment ya kipumbavu hii,mkuu unaushabiki wa kijinga sana unapiga promo ka uzi kako katembee kwa ubishi usio na kichwa wala miguu