Ligi ya Tanzania yapanda nafasi (9) imekuwa ya 62 duniani kwa ubora

Tukutanane robo fainal ijayo ya CAF championship......wananchiiiii
Mbona unaota Kweupe hivo mkuu...

Itawachukua Miaka 10 ijayo kufika japo Robo fainali ya CAF Champions league plz mark my words.

Mnaidharau Simba kwa kua mnashinda nayo na Mpo ligi moja ila wenzenu wanavyoitaman hata National Team hamtaamin. Uto is Uto only.

#Simba#Nguvumoja.
 
Ubora wa simba .....unatokana na ubora wa YANGA..... when it comes to the matter of competition
Tema mate chini na uwe na Adabu ebooo.

Labda kabla hujanipigia kelele nenda club rankings in Africa, then uje na mipasho yako asse.
 
Mbona unaota Kweupe hivo mkuu...

Itawachukua Miaka 10 ijayo kufika japo Robo fainali ya CAF Champions league plz mark my words.

Mnaidharau Simba kwa kua mnashinda nayo na Mpo ligi moja ila wenzenu wanavyoitaman hata National Team hamtaamin. Uto is Uto only.

#Simba#Nguvumoja.
Acha kuishi kwa historia mzee......SIMBA mlifka ile stage kutokana na depression stage ya timu kubwa africa........so mkipata bahati

Kikosi....knachofungwa na kagera sugar.....unafananisha ya YANGA kwel?
 
Tema mate chini na uwe na Adabu ebooo.

Labda kabla hujanipigia kelele nenda club rankings in Africa, then uje na mipasho yako asse.
Mlipata tu bahati ....kutokana na kuanguka kisoka kwa timu kubwa kipind kile
 
Mlipata tu bahati ....kutokana na kuanguka kisoka kwa timu kubwa kipind kile
Comment ya kipumbavu hii,mkuu unaushabiki wa kijinga sana unapiga promo ka uzi kako katembee kwa ubishi usio na kichwa wala miguu
 
Comment ya kipumbavu hii,mkuu unaushabiki wa kijinga sana unapiga promo ka uzi kako katembee kwa ubishi usio na kichwa wala miguu
Mkuu ...kwan kuna pesa yeyote inatolewa ....uzi ukiwa na comments nyng?.........
Mm naongea ukweli...

Swali ni je kwann round hii mlitolewa mapema na katimu kadg ....
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom