Ligi ya Tanzania yapanda nafasi (9) imekuwa ya 62 duniani kwa ubora

Kutizama competition si rahisi, sababu unaweza kukuta ligi inaonekana ngumu kumbe wamekutana vilaza vitupu, muwakilishi wenu kimataifa ndio anathibitisha kama ligi ya kwenu nzuri au butu.
Nitajie team inayo toka Angola ambayo umefika robo fainali CAF champions league kama unaona ndio kigezo
 
Nadhan ww ndo unakaza kichwa.......takwimu zimeelezea ligi bora ......but sio club bora....

Elewa mada
Leta vigezo walivyotumia ku-rank hizo nchi acha porojo.
Kwa ligi ya Tanzania hadi sasa hakuna zaidi ya Simba hadi pale itakapo tokea timu ifanye kama Simba au zaidi
 
Kutokana na ubora wa vilabu vya nchin humo.........Tp mazembe , As Vita ......etc
Na zote ziko competitive sana kwenye mashindano ya Africa, haya turudi bongo land nje ya Simba ni timu gani iko competitive kwenye mashindano ya nje?

Usijisahaulishe Simba imecheza na Sevilla miaka miwili iliyopiya
 
Nitajie team inayo toka Angola ambayo umefika robo fainali CAF champions league kama unaona ndio kigezo
Unazungumzia robo fainali? 😨 wewe jamaa mzima kweli Primera De Agosto 2018 ilifika semi final tena sio shirikisho ni champions league na ikatolewa na Esperance.

Bado unataka tuendelee?
 
Nigeria, Zambia?
Zambia tena 😖
Mwaka 2016 Zanaco kaenda Semi final ya CAF champions league hiyo Yanga ilikuwa wapi?..

Mwaka 2017 akaenda tena Zanaco quarter final ya caf confederation huyo yanga alikuwa wapi?

Nkana kila mwaka anaenda hadi round of 16 anakoshiriki huyo yanga anaenda wapi?

Niweke na record za Zesco? Kubali Simba kafanya haya na sasa hivi yuko vibaya ndio anguko la soka la bongo hivyo timu nne itakuwa story na robo fainali itakuwa story hadi akae vizuri
 
Unazungumzia robo fainali? 😨 wewe jamaa mzima kweli Primera De Agosto 2018 ilifika semi final tena sio shirikisho ni champions league na ikatolewa na Esperance.

Bado unataka tuendelee?
Kumbe ushamjibu, huyu ni wa kuachana nae, data hana ila anataka kuketa ubishi tu.
 
Leta vigezo walivyotumia ku-rank hizo nchi acha porojo.
Kwa ligi ya Tanzania hadi sasa hakuna zaidi ya Simba hadi pale itakapo tokea timu ifanye kama Simba au zaidi
Vigezo ni vingi ......ligi yetu ni bora kwasababu pia zifuatazwo

Ina fuatiliwa na watu weng east Africa.

Inakusanya wachezaji .....kutoka pande mbali mbali za Africa na nje ya. Africa

Mfano ....rejea ..dabi ya SIMBA NA YANGA ya mwaka juzi.....hadi rais wa CAF anakuja kuangalia
 
Na zote ziko competitive sana kwenye mashindano ya Africa, haya turudi bongo land nje ya Simba ni timu gani iko competitive kwenye mashindano ya nje?

Usijisahaulishe Simba imecheza na Sevilla miaka miwili iliyopiya
But in general..... wanaangalia....ushindani wa ligue
 
Unazungumzia robo fainali? wewe jamaa mzima kweli Primera De Agosto 2018 ilifika semi final tena sio shirikisho ni champions league na ikatolewa na Esperance.

Bado unataka tuendelee?
Mara moja.....tu au iliendelea kufanya vizur?
 
Mbona naona hio website sijuwi nn inazungumzia strongest league in Africa na sio ulimwenguni Kama mleta mada anavodai. Kwanza nimepata mashaka duniani league ya Tanzania iwe ya 62 what kitaifa tu fifa rankings sijuwi tupo wa ngapi huko so please mleta mada hebu rudia kufanya research
 
Zambia tena
Mwaka 2016 Zanaco kaenda Semi final ya CAF champions league hiyo Yanga ilikuwa wapi?..

Mwaka 2017 akaenda tena Zanaco quarter final ya caf confederation huyo yanga alikuwa wapi?

Nkana kila mwaka anaenda hadi round of 16 anakoshiriki huyo yanga anaenda wapi?

Niweke na record za Zesco? Kubali Simba kafanya haya na sasa hivi yuko vibaya ndio anguko la soka la bongo hivyo timu nne itakuwa story na robo fainali itakuwa story hadi akae vizuri
Unaleta statistics za mwaka 2016? yaani 2022 unatumia data za miaka 8 iliyo pita kua serious basi
 
Unaleta statistics za mwaka 2016? yaani 2022 unatumia data za miaka 8 iliyo pita kua serious basi
Hizo ni za kuonyesha ukubwa wa hizo ligi.
Mwaka jana Zambia kapeleka timu quarter final ya Confederation hiyo Tanzania ilipeleka nini kama sio Simba?

Mwaka jana Nigeria kapeleka timu Enyimba quarter final huyo Yanga alikuwa wapi?
Haya kapata nafasi kafanya nini zaidi ya K.O round one tu?
 
Back
Top Bottom