Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 15,783
- 24,215
Uchambuzi
Tanzania imepanda katika ubora wa viwango vya soka vya Dunia hadi nafasi ya 123 kutoka nafasi ya 130 iliyokuwepo hapo awali.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Shirikisho la Mpira Duniani (FIFA) Tanzania imepanda kwa nafasi saba zaidi.
Kwa Afrika Tanzania ipo nafasi ya 32 katika ubora wa viwango vya soka.
Je Kutokana na Yanga kuwa msimu Bora sana kitaifa na kimataifa ( kufika fainali za michuano ya CAF) hivyo kutoa motivation Kwa timu ya taifa kuperform vizuri
Kutokana na Yanga kufanya vizuri.....hivyo pia ilitoa wachezaji wengi kuisaidia Taifa stars
NB: Je Yanga imechangia taifa stars kupanda viwango pale mjini FIFA.... ushabiki pembeni