Ligi ya Tanzania yapanda nafasi (9) imekuwa ya 62 duniani kwa ubora

Ngoja tuwaone kwenye mashindano ya CAF
Huku ndiko rankings hutoka.
Simba akivurunda ndio maana halisi ya ligi kuwa mbovu na kupeleka timu nne ndio itakuwa ndoto mpaka atakapopatikana mshindani mzuri.

Yanga kapata hiyo nafasi katoka round one tu kipindi amechukua makombe misimu mitatu alifanya kipi cha ziada ambacho kilipeleka angalau timu 4?
 
Vigezo ni vingi ......ligi yetu ni bora kwasababu pia zifuatazwo

Ina fuatiliwa na watu weng east Africa.

Inakusanya wachezaji .....kutoka pande mbali mbali za Africa na nje ya. Africa

Mfano ....rejea ..dabi ya SIMBA NA YANGA ya mwaka juzi.....hadi rais wa CAF anakuja kuangalia
 
Mwaka Jana co juzi..
 
Ingekua ....hivyo Basi South Africa wangekua no mbili ......coz wametoa tu nying kweny caf champion
Je kafanya hivyo ndani ya muda gani, hizi data zinachukuliwa kwa muda, south hawezi kuwa juu ya misri, wala morroco na wengineo wanaofanya vizuri zaidi mashindano ya caf(champions league na confederation cup)
 
MK254 tupongeze Japo kidogo tu, sio kila siku unatupoooooooooooooooonda.

1643940716698.png
 
Je kafanya hivyo ndani ya muda gani, hizi data zinachukuliwa kwa muda, south hawezi kuwa juu ya misri, wala morroco na wengineo wanaofanya vizuri zaidi mashindano ya caf(champions league na confederation cup)
Aha sawa mkuu .....nmekuelewa
 
Back
Top Bottom