Kagera kapata goli hapa dak ya 52
Paul Ngwai anawaamusha Kagera hapa.
Kagera wanaongoza Gwai kawafungia.Kaitaba kunani?
Saaaaaaaaafi watoto wa meximekwa sasa simba 1 mtibwa 1
Tunachomoa hilo na mengine mawili juu
Saaaaaaaaafi watoto wa mexime
Na iwe hivyo mdau.Tutachomoa na kufanya kweli.
DK ya 45+1 SU 1 Prisons 1
Infwakiti wakata miwa tunaongoza kwa goli moja, naamini mpaka mpira unaisha ndala watakuwa wamekula sukari kibao.Tela abo mpaka bairuke.
Infwakiti wakata miwa tunaongoza kwa goli moja, naamini mpaka mpira unaisha ndala watakuwa wamekula sukari kibao.Tela abo mpaka bairuke.