Sangomwile
JF-Expert Member
- Aug 17, 2012
- 3,227
- 1,104
Kaitaba hali ngumu
Hawa wazee wa sugar kwetu ni sumu kitambo.
Kaitaba hali ngumu
mara nyingi yanga huwa hachomoki kaitaba
Timu yangu Azam vipi tena? Mmelewa sifa?
Azam wanarusha game tatu, ikiwemo Coastal Union na Ruvu Shooting kutoka Mkwakwani..
Embu delete huo uchafu!msishangae sana leo
FT: Newcastle 1 liverpool 0
Yanga ngap ngap
Bora Mnyama nae apigwe tu tuwe sawa.
hiyo ndo Sub!!!! Uhuru kwa kurukaruka uwanjani anaongoza.Okwi OUT, Uhuru IN.