Ligi Kuu Uingereza 2014/2015

Ligi Kuu Uingereza 2014/2015

kwanza kabisa,zile dashes nimeandika W.A.M.E.N.U.N.U.L.I.W.A hivi hili neno hapa JF ni TUSI??? jibu langu maanake ni kuwa walichoonyesha walipokuwa ndio kimefanya tuwachukua....na kwasasa tunawajadili kama epl players....di maria ameforce move brother....alikuwa best player pale especially CL final,sina chuki na Liverpool ila nasema ukweli.

Hahahahahahahaaaa, Di Maria amefanya nini? wakati kwenye interview yake ya kwanza kabisa alisema hakutaka kuondoka Madrid?
 
Hahahahahahaaa, aisee! Labla litakua tatizo la kiufundi

mtu anaweza kufikiri umemtukana kumbe umeandika neno la kawaida....kama mimi nilivyokujibu pale mwingine angefikiri nimemtukana!
 
hakutaka kuondoka ila waliyomfanyia yalimlazimisha awaambie wamuachie aondoke.....

Anyway baada ya mechi 10 hivi tutazijua mbivu na mbichi kwenye EPL kwa sasa bado mapema mno kuanza kujitapa kama ndugu zangu Ntuzu na agosti 8 lakini pia dalili za mvua ni mawingu na nyota njema pia huonekana asubuhi.
Kila la kheri na "Galacticos" wako, me team yangu haina galactico hata mmoja wala hatuna pesa ya kumlipa mchezaji mmoja £280k kwa wiki
 
Last edited by a moderator:

mimi hapa leo napiga kelele kwa sababu ya usajili tu ila nishamwambia Ntuzu na agosti 8 nitaongea tena baada ya mechi kumi ndio nitajua timu yangu iko level gani...........FALCAOOOOOOOOOOOOOOO two for FALCAO three to man utd Liverpool defense is in shambles......khe khe khe khe khe khe khe khe
 
Unaongea vzr sn km panya aumavyo. Yani unauma na kupuliza. Usinielewe vubaya mkuu kwa kusema hivi bali point yako muhimu kote ni hii
"Dalili ya mvua ni mawingu" hii kauli ni msumeno kutokana na mantiki ulivyojenga ktk post yako which means tuko pouwa sn ingawa ni mapema sn kwa ligi.

Niongezee kitu kidogo, msimu uliopita baadhi ya timu zilitusumbua kutupa matokeo mabaya. Hili Kocha amelifanyia kz na huu msimu tumeanza kwa kishindo.

mimi hapa leo napiga kelele kwa sababu ya usajili tu ila nishamwambia Ntuzu na agosti 8 nitaongea tena baada ya mechi kumi ndio nitajua timu yangu iko level gani...........FALCAOOOOOOOOOOOOOOO two for FALCAO three to man utd Liverpool defense is in shambles......khe khe khe khe khe khe khe khe

Game kumi ndio kipimo chetu pia tumeshinda tatu bado 7 na kwa mujibu wa ratiba ilivyo hizi game kumi nitapita ktk viwanja tata km Etihad, anifild na OT na kuwakaribisha Gunners kwangu.

Mategemeo yangu ni kutokupoteza game ata moja ktk wakati wote huu.

Falcao lazima akae benchi
 
Last edited by a moderator:
mimi hapa leo napiga kelele kwa sababu ya usajili tu ila nishamwambia Ntuzu na agosti 8 nitaongea tena baada ya mechi kumi ndio nitajua timu yangu iko level gani...........FALCAOOOOOOOOOOOOOOO two for FALCAO three to man utd Liverpool defense is in shambles......khe khe khe khe khe khe khe khe

Yaani ktk watu wanaoota ndoto za mchana kweupe ni wewe...Man U bado ni urojo tu ndugu yangu.

Liverpool tupo vizuri sana msimu huu kila mwenye macho ya soka ameona ndo maana hata Mourinho wa Juventus kakuelezea...tatizo umeamua kuwa blind kama beki wenu Blind Daley!

Last season tuliwapiga home and away... subiri tena this time home tutakavyowachakaza!

Eti hatuchezi soka la kupendeza...kweli??? Duh alma kweli unavituko mkuu...LFC ndo mambo yote since last season mpaka msimu huu.

Eti galacticos...pfeeeew!
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahaaa, aisee! Labla litakua tatizo la kiufundi
hahahaha siyo tatizo la kiufundi,kuna ile kauli ya kuwaponda vijana wa lumumba wame.....nunu..liwa basi mods wakaona watete vijana
 
Yaani ktk watu wanaoota ndoto za mchana kweupe ni wewe...Man U bado ni urojo tu ndugu yangu.

Liverpool tupo vizuri sana msimu huu kila mwenye macho ya soka ameona ndo maana hata Mourinho wa Juventus kakuelezea...tatizo umeamua kuwa blind kama beki wenu Blind Daley!

Last season tuliwapiga home and away... subiri tena this time home tutakavyowachakaza!

Eti hatuchezi soka la kupendeza...kweli??? Duh alma kweli unavituko mkuu...LFC ndo mambo yote since last season mpaka msimu huu.

Eti galacticos...pfeeeew!

mimi kila siku naota.....mafanikio yangu mengi yameanzia kwenye ndoto....20 yrs and still counting.............how could you let that slip!!!! ooooops ni SG kateleza hapa na kudondosha kombe,mtasubiri miaka 20 tena ili mpate nafasi kama ya mwaka jana!!!!
 
------------ nimepita kuhakiki

kama neno wa.menunuliwa nalo linakuwa ---------- basi itafikia kipindi sentensi nzima bila tusi inaweza kuwa hivi ------ ----- ------- sana.
 
Msimu huu naona EPL imebarikiwa ma-star kwa kweli, inaweza angalau kusshindana na La Liga kwa 'galacticos, Arsena kuna akina OZIL, SANCHES........Chelsea kuna DIEGO COSTA,FABREGAS.......... Man city kuna SILVA,YAYA TOURE,AGUERO

Lakini the most expensive players bado wapo La Liga. Hata hivyo, sidhani kuwa na ma-star wengi ndiko kumeifanya Premiership iwe famous kuliko ligi nyingine duniani. Rather, nafikiri ni competitive nature ya ligi. The team on the bottom can still beat the one at the top. Juzi Man City pamoja na kuwa na superstars hao walifungwa na Stoke tena nyumbani kwao.

Tukija man utd kuna DI MARIA,FALCAO,ROONEY,VAN PERSIE, Liverpool inabidi wajipange maanake hamna jina hata moja msimu huu game zao hazitavutia sana....Ila kiujumla kutakuwa na ushindani wa hali ya juu na haya majina makubwa mechi zitavutia sana imagine 7.di maria 8.mata 9.falca 10.rooney 11.januzay duh tunatisha!!!

Personally, I don't rate Rooney kama one of the world top players. Kwa sababu tuu ni Mwingereza ndo maana media inapenda kumfagilia sana. He is not a top class striker. He is a team player. Huwezi kumweka level moja na akina Suarez na Aguero.

With the signing of Falcao itabidi Rooney atacheze midfield to the detriment of Mata who cost Man Utd nearly £40m.
 
[h=2][/h] [TABLE="class: contentTable"]
[TR]
[TH="colspan: 6"]Saturday 13 September 2014 [/TH]
[/TR]
[TR="class: alt fixturechangerow"]
[TD="class: calendar"] [/TD]
[TD="class: time"]12:45[/TD]
[TD="class: clubs"] Arsenal v Man City [/TD]
[TD="class: location"] Emirates Stadium [/TD]
[TD="class: tickets"] [/TD]
[TD="class: broadcasters"]
Super-Sport-3.png
[/TD]
[/TR]
[TR="class: alt"]
[TD="class: fixturechange, colspan: 6"] This fixture was previously scheduled on Saturday 13 September 2014 at 17:00 but was rescheduled due to live broadcasting on BT Sport [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: calendar"] [/TD]
[TD="class: time"]15:00[/TD]
[TD="class: clubs"] Chelsea v Swansea [/TD]
[TD="class: location"] Stamford Bridge [/TD]
[TD="class: tickets"] [/TD]
[TD="class: broadcasters"]
Super-Sport-3.png
[/TD]
[/TR]
[TR="class: alt"]
[TD="class: calendar"] [/TD]
[TD="class: time"]15:00[/TD]
[TD="class: clubs"] Crystal Palace v Burnley [/TD]
[TD="class: location"] Selhurst Park [/TD]
[TD="class: tickets"] [/TD]
[TD="class: broadcasters"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: calendar"] [/TD]
[TD="class: time"]15:00[/TD]
[TD="class: clubs"] Southampton v Newcastle [/TD]
[TD="class: location"] St. Mary's Stadium [/TD]
[TD="class: tickets"] [/TD]
[TD="class: broadcasters"] [/TD]
[/TR]
[TR="class: alt"]
[TD="class: calendar"] [/TD]
[TD="class: time"]15:00[/TD]
[TD="class: clubs"] Stoke v Leicester [/TD]
[TD="class: location"] Britannia Stadium [/TD]
[TD="class: tickets"] [/TD]
[TD="class: broadcasters"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: calendar"] [/TD]
[TD="class: time"]15:00[/TD]
[TD="class: clubs"] Sunderland v Spurs [/TD]
[TD="class: location"] Stadium of Light [/TD]
[TD="class: tickets"] [/TD]
[TD="class: broadcasters"]
Super-Sport-5.png
[/TD]
[/TR]
[TR="class: alt"]
[TD="class: calendar"] [/TD]
[TD="class: time"]15:00[/TD]
[TD="class: clubs"] West Brom v Everton [/TD]
[TD="class: location"] The Hawthorns [/TD]
[TD="class: tickets"] [/TD]
[TD="class: broadcasters"] [/TD]
[/TR]
[TR="class: fixturechangerow"]
[TD="class: calendar"] [/TD]
[TD="class: time"]17:30[/TD]
[TD="class: clubs"] Liverpool v Aston Villa [/TD]
[TD="class: location"] Anfield [/TD]
[TD="class: tickets"] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Msimu huu naona EPL imebarikiwa ma-star kwa kweli, inaweza angalau kusshindana na La Liga kwa 'galacticos,
Arsena kuna akina OZIL, SANCHES........Chelsea kuna DIEGO COSTA,FABREGAS.......... Man city kuna SILVA,YAYA TOURE,AGUERO

Tukija man utd kuna DI MARIA,FALCAO,ROONEY,VAN PERSIE, Liverpool inabidi wajipange maanake hamna jina hata moja msimu huu game zao hazitavutia sana....Ila kiujumla kutakuwa na ushindani wa hali ya juu na haya majina makubwa mechi zitavutia sana imagine 7.di maria 8.mata 9.falca 10.rooney 11.januzay duh tunatisha!!!

cc: Ntuzu Mentor EMT agosti 8 MosDef pierre Fm truegooner rubaman Belo Ngongo Mourinho Wacha1 privacy Mbeky The Magnificent Viol Idimi na wote mnaobariki jukwaa la michezo......

Teh teh teh...#teamBalloteli #LFC #YNWA .
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom