Erick tryphone
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 387
- 84
mhhhh we jamaa ulijuaje kama man u ashindi Leo?
msimu huu naona epl imebarikiwa ma-star kwa kweli, inaweza angalau kusshindana na la liga kwa 'galacticos,
arsena kuna akina ozil, sanches........chelsea kuna diego costa,fabregas.......... Man city kuna silva,yaya toure,aguero
tukija man utd kuna di maria,falcao,rooney,van persie, liverpool inabidi wajipange maanake hamna jina hata moja msimu huu game zao hazitavutia sana....ila kiujumla kutakuwa na ushindani wa hali ya juu na haya majina makubwa mechi zitavutia sana imagine 7.di maria 8.mata 9.falca 10.rooney 11.januzay duh tunatisha!!!
Cc: ntuzu mentor emt agosti 8 mosdef pierre fm truegooner rubaman belo ngongo mourinho wacha1 privacy mbeky the magnificent viol idimi na wote mnaobariki jukwaa la michezo......
Msimu huu naona EPL imebarikiwa ma-star kwa kweli, inaweza angalau kusshindana na La Liga kwa 'galacticos,
Arsena kuna akina OZIL, SANCHES........Chelsea kuna DIEGO COSTA,FABREGAS.......... Man city kuna SILVA,YAYA TOURE,AGUERO
Tukija man utd kuna DI MARIA,FALCAO,ROONEY,VAN PERSIE, Liverpool inabidi wajipange maanake hamna jina hata moja msimu huu game zao hazitavutia sana....Ila kiujumla kutakuwa na ushindani wa hali ya juu na haya majina makubwa mechi zitavutia sana imagine 7.di maria 8.mata 9.falca 10.rooney 11.januzay duh tunatisha!!!
cc: Ntuzu Mentor EMT agosti 8 MosDef pierre Fm truegooner rubaman Belo Ngongo Mourinho Wacha1 privacy Mbeky The Magnificent Viol Idimi na wote mnaobariki jukwaa la michezo......
mna point ngapi vile?
kitu ambacho ilikuwa inawafaidisha sana Man U,mwaka huu ni kutoa jashoSasa inaleta msisimuko,kwa mechi nilzoziona marefarii hawatoi penat hovyo,wamekuwa wagumu wakutoa penati.Naulza wadau haya ni mabadilko ya kufanya wachezaji wakaze na wasjilegeze ?
mna point ngapi vile?
Msimu huu naona EPL imebarikiwa ma-star kwa kweli, inaweza angalau kusshindana na La Liga kwa 'galacticos,
Arsena kuna akina OZIL, SANCHES........Chelsea kuna DIEGO COSTA,FABREGAS.......... Man city kuna SILVA,YAYA TOURE,AGUERO
Tukija man utd kuna DI MARIA,FALCAO,ROONEY,VAN PERSIE, Liverpool inabidi wajipange maanake hamna jina hata moja msimu huu game zao hazitavutia sana....Ila kiujumla kutakuwa na ushindani wa hali ya juu na haya majina makubwa mechi zitavutia sana imagine 7.di maria 8.mata 9.falca 10.rooney 11.januzay duh tunatisha!!!
cc: Ntuzu Mentor EMT agosti 8 MosDef pierre Fm truegooner rubaman Belo Ngongo Mourinho Wacha1 privacy Mbeky The Magnificent Viol Idimi na wote mnaobariki jukwaa la michezo......
Galacticos? Hivi Ozil, Costa, Silva, Sanchez, Di Maria ni galacticos? Kwanza hili neno linanitatiza kidogo kupata maana yake halisi, labla ungeanza na unamaanisha nini na neno Galacticos maana Magalacticos ninawajua mimi washastaafu soccer, Zizzou, Ronaldo Original, Figo, Beckam, Raul
Halafu unasemaje Liverpool game zao hazitavutia, kwa kigezo kipi? Hivi Ozil ana jina kubwa kuliko Balotelli? Man United inayosuasua inaweza kutandaza soka maridadi na la kuvutia kama la Liverpool?
Mata anaendelea kuchemsha, Januzaj siijua atacheza namba ipi na ujio wa kina Di Maria na Falcao, wakati wewe unawishes za kucheza mpira mzuri wenzakoo kina Sterring, Sturridge (Liverpool), Costa, Cesc, Hazard wanaishi uhalisia sio day dreams
pole mkuu...sturridge,sterling hawako kwenye level za akina FALCAO,DI MARIA hizi ni level nyingine....pili liverpool haina soka la kuvutia.....tatu tangu ameondoka suarez liverpool hakuna worldclass player.
Ama kweli wewe ni Man United damu, Falcao na Di Maria wamecheza game ngapi za EPL 2014/15 na wamefanya kipi?
Kama Liverpool hii ya BR haichezi soka la kuvutia then naomba niishie hapahapa, nilidhani umeanzisha uzi kujadili mastaa wa EPL 2014/15 kumbe nimekosea
------------ si kwasababu wameonyesha uwezo wao kwenye EPL NO! ni kwasababu wameonyesha uwezo wao huko walikotoka......kweli umepotea maanake nimeweka wazi majina ya tunaowajadili,na sidhani kama wanachezea ligi ingine zaidi ya EPL

Brother kama ni EPL kwanini uwape sifa watu ambao hata hawajagusa mpira bado? (Falcao)
Unajua hata kina Shevchenko, Veron, Poboksy, Crespo n.k walikuja na majina makubwa lakini walichemka? Nikakuuliza Ozil ana jina kubwa kuliko Balotelli hujajibu, je D.Costa, Sanchez nk nao ni magalacticos hujajibu, kama Di Maria ni galactico mbona kaondolewa huko nyumbani kwa Magalacticos kama kit man?
Anyway naheshimu mawazo yako lakini ushabiki wako wa Man United unakupofua au una chuki tu na Liverpool