Ligi Kuu Uingereza 2014/2015

Ligi Kuu Uingereza 2014/2015

Unaacha kazi wapi? au kazi ya utabiri...
 
Man u anakaliwa kimoja tu cha nguruwe

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Unaacha kazi gani na tutauaje kama kweli umeacha kazi ?

Bora ungesema utatoa fungu la mmpesa kwa yoyote atakayeweka hapa namba yake.., Hiyo tunaita putting your money where your mouth is
 
Kazi yenyewe ya ubaamedi ukiacha utapata nyingine kesho yake
 
Kazi yenyewe hiyo ya kupiga kelele tena kiradio kinachosikika mitaa miwili ndo unatusumbua bora uache tu hata kama Man wasipopigwa maana kwa hiyo kazi mh! Bora ingekuwa inasikika eneo kubwa la Tz
 
Kazi yenyewe hiyo ya kupiga kelele tena kiradio kinachosikika mitaa miwili ndo unatusumbua bora uache tu hata kama Man wasipopigwa maana kwa hiyo kazi mh! Bora ingekuwa inasikika eneo kubwa la Tz

Umenichekesha aisee
 
Wenye timu hawakubali hilo sijui wanatoa wapi matumaini drooo ugenini kufungwa nyumbani ndo zao

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom