Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-1 KMC FC | Uwanja wa Mkapa | Juni 19, 2022

Pia tukumbuke washambuliaji watatu ukijumlisha magoli yao hawafikii magoli ya mtu mmoja Fiston Kalala Mayele
 
Huyu Banda yuko over Overrated.

Hakuna maajabu afanyayo kiasi cha kuitwa wonder kid
 
Huyu Banda yuko over Overrated.

Hakuna maajabu afanyayo kiasi cha kuitwa wonder kid
Hivi kafikisha magoli mangapi hata matatu yamefika kweli?

Nadhani hiyo Wonder ina maana kuwa mshangao wa chezaji garasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom