Lightning bolt struck Christ the Redeemer in Rio De Janeiro 🤯⚡

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
26,473
Reaction score
40,094

A photographer @fsbragaphotos has captured a breathtaking image of a lightning bolt which has hit the Christ the Redeemer statue on February 10th, 2023.






The bolt of flash struck the head of the statue. The statue, situated in Brazil’s Rio De Janeiro, is visited by nearly two million people every year. In 2014, a lightning strike had damaged a thumb of the statue.

Equipment used:
NIKON D800 with 70-200mm f/2.8E at 70mm f/8 13" ISO 100.

Credits: @fsbragaphotos

My Take.
Believers we have something to learn on this tukio
 
Ingependeza zaidi kama ungeweka picha ya hiyo sanamu inayoonesha kabla na baada ya kupigwa na radi.
 
Hamna cha kujifunza hata kimoja hapo ambacho ni kipya, tunajua sanamu halijitambui na radi inapiga kitu chochote,watu, wanyama,majumba, miti na kila kitu.mie sioni cha ajabu na cha kijifunza hapo
 
Hamna cha kujifunza hata kimoja hapo ambacho ni kipya, tunajua sanamu halijitambui na radi inapiga kitu chochote,watu, wanyama,majumba, miti na kila kitu.mie sioni cha ajabu na cha kijifunza hapo
Sawa Sawa
 
Radi inafata vitu vilivyo kuwa highly elevated

Sasa hapo sioni cha kushangaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…