Lift kwenda Arusha toka Dar

Lift kwenda Arusha toka Dar

Pitia uzi wa road trip utaona kuna wadau Wana iyo ratiba
sasa wewe unataka kusafiri ama unahitaji story mkuu, watu watashindwa kutambua nini hasa unachohitaji
Mkuu ashakum si matusi, Ila kama ningepata wasaa wa kukushauri, ningekushauri kuwa usiwe unasoma tu habari, bali soma na kuelewa. Hakuna mahali nimesema nahitaji story, wala kukataa ushauri wa kupanda coaster kama mdau alivyoshauri, kichwa cha habari kimebeba lengo kuu la uzi, sasa kigumu hapo kuelewa?. Kuna wakati unafika sentesi nyepesi huwa tunawachia watoto wa shule, unless wewe unakidhi vigezo hvy.
 
[emoji3][emoji3][emoji3]mawazo mgando
Kuna sababu za kisayansi ni kwa nini siyo tarehe nzuri ya kusafiri:

1.Watu wengi husafiri hiyo tarehe kwa hiyo barabarani huwa ni vurugu.

2.Watu wengi wanaosafiri hii tarehe huwa wana mihemko ya sikukuu hivyo hukosa umakini barabarani kitu ambacho kinaweza kusababishia watu wengine ajali.

3.Watu wengi wanaosafiri hii tarehe hujali zaidi kufika haraka kwenda kuonana na ndugu jamaa na marafiki badala ya kujali usalama wao barabarani.

4.Watu wengi hupenda kusafiri kwa mbwembwe kwenye hii tarehe ikiwa ni pamoja na kuwa walevi.

5.Watu wa usalama barabarani akili zao huwa zipo kwenye mambo ya familia zao yanayohusu sikukuu ya kesho yake na kusahau kusimamia majukumu yao ipasavyo.
 
Kuna sababu za kisayansi ni kwa nini siyo tarehe nzuri ya kusafiri:

1.Watu wengi husafiri hiyo tarehe kwa hiyo barabarani huwa ni vurugu.

2.Watu wengi wanaosafiri hii tarehe huwa wana mihemko ya sikukuu hivyo hukosa umakini barabarani kitu ambacho kinaweza kusababishia watu wengine ajali.

3.Watu wengi wanaosafiri hii tarehe hujali zaidi kufika haraka kwenda kuonana na ndugu jamaa na marafiki badala ya kujali usalama wao barabarani.

4.Watu wengi hupenda kusafiri kwa mbwembwe kwenye hii tarehe ikiwa ni pamoja na kuwa walevi.

5.Watu wa usalama barabarani akili zao huwa zipo kwenye mambo ya familia yanayohusu sikukuu ya kesho yake na kusahau kusimamia majukumu yao ipasavyo.
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Mimi nahisi muuliza anajua ratiba yake na ndo mana anataka kusafiri hiyo tarehe
Hivyo mi naona sio busara kumpangia siku ya kusafiri

Kuhusu usalama ni kweli inatakiwa wote wawe makini(dreva na mpewa lift) Kwa hawajuani Ila Kwa utamaduni wetu fresh Tu kupeana lift

Mwisho wa siku maisha lazima yaendelee hata kama kuna sikukukuu
 
Wanajamvi habari ya muda huu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu naomba kwa mtu anaeenda Arusha kutokea Dar na gari binafsi siku ya tarehe 24/12/2020 anipe lift, tutachangia wese kidogo. Kama yupo tafadhali sana aje chemba tuyajenge chap.
Utaweza kuvumilia changamoto za gari ya private? Inapita Tanga kusalimia marafiki inakaa muda, kisha Korogwe kuna family friend wanapitia wapate matunda na mengine, ikifika Himo inapitia Marangu kumsalimia bibi na babu kisha moshi nako kuna ishu mpk ufike Arusha umekoma
 
,[emoji1787][emoji1787]
 
Mimi nahisi muuliza anajua ratiba yake na ndo mana anataka kusafiri hiyo tarehe
Hivyo mi naona sio busara kumpangia siku ya kusafiri

Kuhusu usalama ni kweli inatakiwa wote wawe makini(dreva na mpewa lift) Kwa hawajuani Ila Kwa utamaduni wetu fresh Tu kupeana lift

Mwisho wa siku maisha lazima yaendelee hata kama kuna sikukukuu
Umefunga kazi mkuu, hakuna cha kuongeza
 
Back
Top Bottom