Lift/elevator mbovu sasa basi

Lift/elevator mbovu sasa basi

METATRON LIFT CO. LTD, Ni kampuni ya Kitanzania ambayo imejikita kwenye Uuzaji wa Lift toka Uturuki na pia tunafunga lift aina yeyote kwa bei nzuri, pia tunatengeneza lift zilizo simama kwa muda mrefu ama zenye matatizo mengine kama hayo.
Tuone tupo..

Mbezi Beach, Mwaikibaki road (karibu)
Bado tunaendelea kutoa huduma na huduma zetu ni 24 hrs pia ushauri ni bure.
 
Punguzo kwa ajili ya maintenance kwa msimu huu Sabasaba ni zaidi ya 30%.
 
Back
Top Bottom