Lift/elevator mbovu sasa basi

Lift/elevator mbovu sasa basi

metatron

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2016
Posts
552
Reaction score
277
METATRON LIFT CO. LTD, Ni kampuni ya Kitanzania ambayo imejikita kwenye Uuzaji wa Lift toka Uturuki na pia tunafunga lift aina yeyote kwa bei nzuri, pia tunatengeneza lift zilizo simama kwa muda mrefu ama zenye matatizo mengine kama hayo.
Tuone tupo..

Mbezi Beach, Mwaikibaki road (karibu)
 
Mnafunga lift za Kampuni gani za Uturuki na je mumeshawahi kuzifunga hizo lift wapi Tanzania ili tuweze kuziona.
 
Mnafunga lift za Kampuni gani za Uturuki na je mumeshawahi kuzifunga hizo lift wapi Tanzania ili tuweze kuziona.
Mkuu karibu Sana, Sisi Tunatumia Brand ya MERIH ASANSOR hiki ni kiwanda kikubwa Kwa UTURUKI na ndio kinaongoza, pia Sisi Kama Metatron Lift Compay Ltd ndio xclusive distributors kwa Africa mashariki na Kati. Kazi ambazo tumefanya mpka Sasa ni kazi Tano na mbili ndio tumalizia Installation ila Kwa mwezi ujao tuna kazi Moshi na Mwanza ziko 3
 
Mnafunga lift za Kampuni gani za Uturuki na je mumeshawahi kuzifunga hizo lift wapi Tanzania ili tuweze kuziona.
Ofisi zetu zipo
Mwai kibaki road, MBEZI BEACH karibu na Rainbow social club.
P. O. BOX 5848
Mob: +255 714 434 190
Email: makenge88@hotmail.com
metatronlift@gmail.com
Lift ambazo tumefunga tutakupeleka moja baada ya nyingine mkuu, pia kwa Sasa tupo Magomeni Mwembe Chai pale EKENYWA HOSPITAL tunafunga Lift nyingine ndio tumeanza tuna Siku Tatu Sasa.
 
Napenda kujua kama katika lift zenu mnazo ndogo, kwa matumizi ya nyumbani, zenye uwezo wa kubeba mgonjwa wa wheelchair na watu wawili, inayoweza kwenda kama mita 8, ya gorofa 3, Ground, ya kwanza na ya pili na iwe pitless.
 
Mkuu hizi Sasa ndio mahala pake Katika kampuni zote hapa Tanzania na East Africa sisi pekeee ndio tunafanya special design ya lift ndogo home usser na moja kama hyo tunatarijia kuifunga Mbezi beach hivi karibuni. Nikuondoe wasi wasi hiyo kazi sisi tunafanya. Muhimu nitumie vipimo vya shaft yako kwenye email address yangu tuandae mchoro pamoja na quotation
Email: makenge88@hotmail.com
 
Kama una tatizo tajwa hapo juu kuhusiana na Lift yako basi mwarobaini umepatikana , sisi kwetu tunasema hakuna Lift mbovu. Tuone METATRON LIFT CO. LTD ndiyo suruhisho la kudumu kwa lift yako. Pia tunauza Lift toka Uturuki kwa brand ya MERIH ASANSOR na tunafanya Installation kwa aina yeyote ya Lift.
KARIBUNI SANA....
Mbezi Beach karibu na Rainbow social club
+255 714 434 190
metatronlift@gmail.com , makenge88@hotmail.com
 
Attachments

  • DSCF4859.JPG
    DSCF4859.JPG
    148.9 KB · Views: 83
  • DSCF4827 - Kopya.JPG
    DSCF4827 - Kopya.JPG
    99.9 KB · Views: 72
  • DSCF4847.JPG
    DSCF4847.JPG
    100 KB · Views: 65
METATRON LIFT CO. LTD Ni kampuni ya Kitanzania ambayo inafanya kazi sambamba na Kampuni kubwa ya Lift ya Uturuki MERIH ASANSOR Iliyopo ANKARA-TURKEY.
Tunafunga Lift za aina yeyote ile kwa mahitaji yako, Tunazo lift ndogo kabisa hadi za watu watatu kwa ukubwa wa Shaf yako ambayo ni sawa na ( width 130 * depth 140) (width 120 * depth 130) na pia tunazo lift kubwa kabisa hadi za tani tano.. Kwa dar es salaam tumeishafunga kazi kadhaa ukiwa na muda unaweza kwenda kutembelea. Pia tunakazi tunatarajia kufunga MOSHI, MWANZA NA MUSOMA hivi karibuni.

TUPO: MBEZI BEACH KARIBU NA RAINBOW SOCIAL CLUB
0714 434 190
makenge88@hotmail.com
metaronlift@gmail.com

"KARIBUNI SANA"
 
DSCF4854.JPG
DSCF4855.JPG
DSCF4860.JPG
DSCF4847.JPG
DSCF4873.JPG
DSCF4933.JPG
DSCF4939.JPG
 
Back
Top Bottom