Lift/elevator mbovu sasa basi

Lift/elevator mbovu sasa basi

Swali # 2 sijakuelewa kuhusu hiyo card unayosema inatoa back up ikwa lift imekwama. Hapa ungeniambia kwamba mnatumia battery kama back up kwaajili ya kusogeza lift ikiwa imekwama kabla ama baada ya entry/exit.

Swali # 3 haujanipa jibu na kwamba na sehem umdanganya.
Kimsingi sijauliza kama lift zenu ni zakisasa ama ni toleo la mwaka gani.
Nimtaka kujua aina drive kwenye mechanical. Hapa naamisha mnatumia Gear and Rail or Rope and Drum/Motor kwenye up and down ya elevator zenu?
Pia naomba nikusahihishe kwamba hakuna Remote inayo tumika badala ya Sensors.
Kazi ya Think mote ni kufanya uelekeo/ kuenfesha (control).

Drive inayotumika ni (V.V.V.F) up & down collective , geared & gearless machine, Rail 70*65*9mm, Rope 50*50*5mm,
 
Swali # 2 sijakuelewa kuhusu hiyo card unayosema inatoa back up ikwa lift imekwama. Hapa ungeniambia kwamba mnatumia battery kama back up kwaajili ya kusogeza lift ikiwa imekwama kabla ama baada ya entry/exit.

Swali # 3 haujanipa jibu na kwamba na sehem umdanganya.
Kimsingi sijauliza kama lift zenu ni zakisasa ama ni toleo la mwaka gani.
Nimtaka kujua aina drive kwenye mechanical. Hapa naamisha mnatumia Gear and Rail or Rope and Drum/Motor kwenye up and down ya elevator zenu?
Pia naomba nikusahihishe kwamba hakuna Remote inayo tumika badala ya Sensors.
Kazi ya Think mote ni kufanya uelekeo/ kuenfesha (control).
Good pamoja na kwamba wewe sio mteja ila umetoa challenge kwa muuzaji.
 
Punguza povu mkuu...
Hapa tupingane kwa hoja tu...
Kwanza matumizi ya remote kwenye lift hii unayo izungumzia wewe ni unsafe kwa mtu anaekua ndani ya lift hiyo.
Lakini ninacho kijua kuhusu lift hii unayo isemea wewe ni inaongozwa na Sensors ili iweze kuhisi ama ku maintain mawasiliano kutoka ama kwenda kwenye kila kituo.
Na ninaanza kuamini kwamba yawezekana unauza kitu ambacho haukijui kwa kushindwa kutofautisha SENSOR na REMOTE
Mkuu punguza kwanza wewe hilo povu alafu naona unachanganya mada.. Door detector ama sensor ina kazi yake na remote pia ina kazi yake ila sijui kwanini unabisha ama unaweka ubishani kuhusu Lift zinazotumia remote kubaini tatizo kwenye Litf?.
Pia unaposema hii remote ni unsafe sijui una maana gani? ngoja nikuelimishe kidogo, linatokea tatizo kwenye Lift ama unahitaji kuifanyia Lift maintenance basi Lift utaweka switch ya manual na lIft utaiongoza wewe manual na hapo remote itahusika kusema tatizo liko wapi, na utakapomaliza utairudisha automatic na itapiga mzigo kama kawaida.
 
MM nataka kujua, lift capacity, voltage, speed na minimum stop height, mfano nataka lift iwe na 3 stop Lower ground to Ground floor 1.2m GF - 1ST FL 3.7M
Mkuu ni vema ukanipa vipimo vya shaft ya Lift, Width & Depth ndani kwa ndani nitakupa fasta hapa usijari ........ karibu sana
 
Metatron Lift Company Ltd was founded in 2015 by Tanzanian young visionaries who were intending to serve their country and the other developing countries with sustainable and good quality elevator products under European Standards. The company is engaged in supplying a full series of elevators, escalators ,Lift spare parts and their services and services.

As a future potentially leading domestic and abroad elevator enterprise with a comprehensive strength ,Metatron Lift Company Ltd is fully recognized by customers for its superior technology, quality and services it offers. By putting into consideration in our custumers’ needs, Metatron Lift Company Ltd is highly determined, dedicated and devoted to provide the clients with high quality elevator products, spare parts and services with an affordable prices.

Office Location..
Mbezi Beach - Dar es salaam
0714 434 190
0679 393 975
metatronlift@gmail.com
Use secured email address....
 
Good pamoja na kwamba wewe sio mteja ila umetoa challenge kwa muuzaji.
Hapana unajua nini Jamaa analeta ubishi na pia anabishana na technology, ndio najaribu kumuelewesha hahahahhahah yeye anajua vitu juu juu tu na hizi Lift ninazoongelea hata hazijui kabisa ndio maana anabisha tu. Hizi sio za kichina au za kihindi.
 
Mkuu hatuko hapa kubishana wala wala kudanganyana na usome vizuri maelezo yangu vizuri, nimesema kuwa tunatumia ARD system hii nipamoja na backup yake amabyo ni betri zote zinafanya kazi sambamba inapotokea tatizo la umeme Lift itasogea kituo kinachofuata na kufungua milango na milango haitofunga mpka umeme urudi.
Sijadanganya sehemu yeyote, nimezungumzia remote na nikakuwekea na picha yake ya control panel na remote yake, ngoja nikupe elimu kidogo kwa lift za Kituruki hasa hizi ambazo ni latest ARKEL ARCODE zinatumia remote maalumu na bila hiyo remote huwezi kujua tatizo kwenye hiyo Lift.
Bahati njema niliku quote na hii inanipa uhakika wa kwamba bado haujaiva kwa kile unacho kiuza.
Nimekuuliza ni aina ipi ya MECHANICAL DRIVE lift zenu hutumia?
Hapo bila shaka ulichemka na nikakurahisishia kwa kusema Rope drum and Motor ama Gear and Rail?
Pili ukiongezea na control panels naona ndio kwanza unajikoroga kabisaaa..... Kwasababu control panel's ni sawa na Station boxes kwaajili ya trouble shooting ikiwa tatizo limetokea kwenye lift.
Bado nasema kwa sauti kwamba Umechemka na haujui tofauti ya Remote, Sensor and Control panels.....
 
Asante sana mkuu...
Capacity : 800Kg / 10 Passengers
Speed: 1.00 m/s
Door opening: Automatic door opening, Center door opening
Door size: W 900 (mm) * H 2000 (mm)
Cabin size: W 1550 (mm) D 1250 (mm)
Power supply: 380V AC 50HZ 3phase, 5 lines
Control: A.C - V.V.V.F with ARD System
 
Shaft = w x d = 1990x1880
Capacity : 800Kg / 10 Passengers
Speed: 1.00 m/s
Door opening: Automatic door opening, Center door opening
Door size: W 900 (mm) * H 2000 (mm)
Cabin size: W 1550 (mm) D 1250 (mm)
Power supply: 380V AC 50HZ 3phase, 5 lines
Control: A.C - V.V.V.F with ARD System
 
Capacity : 800Kg / 10 Passengers
Speed: 1.00 m/s
Door opening: Automatic door opening, Center door opening
Door size: W 900 (mm) * H 2000 (mm)
Cabin size: W 1550 (mm) D 1250 (mm)
Power supply: 380V AC 50HZ 3phase, 5 lines
Control: A.C - V.V.V.F with ARD System
Minimum Stop height????????????
 
METATRON LIFT CO. LTD, Ni kampuni ya Kitanzania ambayo imejikita kwenye Uuzaji wa Lift toka Uturuki na pia tunafunga lift aina yeyote kwa bei nzuri, pia tunatengeneza lift zilizo simama kwa muda mrefu ama zenye matatizo mengine kama hayo.
Tuone tupo..

Mbezi Beach, Mwaikibaki road (karibu)

Ni pm now mkuu..
 
Poa poa Ila ndo mimi mkuu , ulikuja ofisini hapa ukanipa quotation .. tutaendelea kuwasiliana.
Aaah sawa sawa mkuu, nimekupata asante sana kwa ushirikiano wako...
 
Back
Top Bottom