Kwanini huyataki? Hao wamekulia kwenye hayo maisha.
Kuna hata mmoja angependa kuishi hayo maisha?! Mimi NOPE!
Natamani hata nisiwe na simu kabisa. Enzi zile mtu akisema nakuja mwanza tarehe 16/06/1990 yaani mnajua kabisa ataingia stendi saa kumi jioni. Mnamsubiria. Hizi simu siku hizi appointment hata na mwenza haziwezekani manake kirahisi tu anatuma msg napitia saluni nitachelewa. Maisha hayana ladha tena bwana
Raha sana
Mwanao anaweza??
Kwanini asiweze?
Kazoea mambo ya ipad