Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 41,854
- 100,771
Kumbe? Ngoja nisome alooo.!!Hahaha katupia
Kumbe? Ngoja nisome alooo.!!Hahaha katupia
Kumbe? Ngoja nisome alooo.!!
Km mbaya sisomi na skip mpk portion inayofata 😹😹Ila ya leo imepoa yaani
Km mbaya sisomi na skip mpk portion inayofata [emoji81][emoji81]
Mi nataka udambu dambu km wa kuvaa shati lisilo na vifungo la batiki. Au yale ya Mutani kumuita mogadishu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Basi ngoja nikaendelee kunywa Amarula mie 🤣🤣🤣[emoji1787][emoji1787] Leo hakuna
Basi ngoja nikaendelee kunywa Amarula mie [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😹😹😹 eeeh kapanda mwewe??[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ikitokea ya kuchangamka nitakuita mdogo wangu sasa hivi yupo airport sijui anaenda nchi gani
[emoji81][emoji81][emoji81] eeeh kapanda mwewe??
Haya unishtue da mkubwa [emoji76]
Umesema haina udambu dambu inanitia uvivu 🤣🤣🤣[emoji1787][emoji1787] au soma tu mdogo wangu kidogo
Mi nilitaka afumaniwe Mogadishu akamilishe mnyoosho 😂😂😂[emoji1787][emoji1787] au soma tu mdogo wangu kidogo
Umesema haina udambu dambu inanitia uvivu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mi nilitaka afumaniwe Mogadishu akamilishe mnyoosho [emoji23][emoji23][emoji23]
Basi sisomi mpk akileta nyingine 😹Kweli haina
Anakimbiaje kabla hajapewa chai 🤣🤣🤣Aliamua kukimbia mji na kwenda kuanza upya mkoani
Karibu 😍'natakiwa kulipia tena maana mle sio sehemu ya kujificha'...
😂😂 - ila askari wetu..!!🙌
Best quotes so far:
"Sikia mdogo wangu, chochote unachofanya basi jua kitaleta matokeo mbeleni, yawe mazuri au mabaya. Yanayokutokea sasa, ni matokeo ya uliyokuwa unafanya, huna wa kumlaumu"
"Bahati inawapendelea waliojiandaa hata kama mpo wengi wenye vigezo"
"Sipo kwa ajili ya kusawazisha makosa yako. Na hakuna anayeweza kuyasawazisha zaidi yako wewe mwenyewe. Tafuta namna"
gracias muchos Analyse