Life style yako ni ipi?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,070
Kusali sana
Starehe
Kupiga mizinga
Tapeli(Yahaya)
Wizi( hata wa wake/waume za watu)
Kujifanya matawi kumbe Loh...majanga
Kupenda mabeki 3(ulevi mbaya kabisa )
Nk nk ...jitokeze waweza pata hata ushauri nasaha Hapa CC

Pia waweza ongezea kama lifestyle yako c moja katika ya hizo hapo juu
 

Anza wewe weka cv yako hapa
 
kulala usiku na kuwa macho daytime
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…