Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,124
- 114,170
kikubwa ni kuzingatia kuzisaka ili ikifika 40 tuwe na uhuru wa kipatoTofauti utaiona ukiwa apeche alolo,majukumu ni mengi yanakuangalia huna jinsi ya kusolve unajiona hopeless...ukiwa na ukwasi 40 is just a number
Wadada wengi hawapendi forty Kwa vile tunaambiwa officially we are out of market....Binafsi I don't care I count is as a blessings Kuna watu wameondoka mapema sanaWewe subiri kidogo, wanasema wakati unaapproach 40 unapata stress za uzee, imewahi kukutokea? Au ndio vile maokoto sio haba huna stress?
Mimi siutaki uzee na siupendi. Its a stage in life ambayo uwe na hela ama vipi kuna vitu katika maisha unavikosa. I love 40, I hate 50🤣Frankly speaking Sina stress hata kidogo za uzee wala sioni aibu kusema nikaapproch 40....Nina stress mambo yangu ya pesa yakienda ndivyo sivyo only that!
40 ni poa sana Eroni.
Yaani mdogo wangu ukifika 40 halafu umejipata utaona bata utazokula....kikubwa ni kuzingatia kuzisaka ili ikifika 40 tuwe na uhuru wa kipato
Acha ufala we Mzee🤣🤣🤣50 Ina Nini? Hivi humuoni mtu kama JK ana 80 bado analipa?Mimi siutaki uzee na siupendi. Its a stage in life ambayo uwe na hela ama vipi kuna vitu katika maisha unavikosa. I love 40, I hate 50🤣
Ndio tunajitafuta tujipate before 40 japo mtafutano ni mkali mno dada mkubwa ila malengo yapo ni kuyapambaniaYaani mdogo wangu ukifika 40 halafu umejipata utaona bata utazokula....
Uzee huwa unanikosesha raha sana nikiwaza itakuajeMimi siutaki uzee na siupendi. Its a stage in life ambayo uwe na hela ama vipi kuna vitu katika maisha unavikosa. I love 40, I hate 50🤣
Pambana sana lastborn, ikifika 40 Yako unakula zako kuku Kwa mrijaNdio tunajitafuta tujipate before 40 japo mtafutano ni mkali mno dada mkubwa ila malengo yapo ni kuyapambania
Hakuna aliyeko nje ya soko, haya ndio maneno aliyeko 40 anatakiwa kuyaignore, yaani we have to think positive regardless.Wadada wengi hawapendi forty Kwa vile tunaambiwa officially we are out of market....Binafsi I don't care I count is as a blessings Kuna watu wameondoka mapema sana
Sijawahi hata kuuwaza, yaani kifupi haunisumbuiUzee huwa unanikosesha raha sana nikiwaza itakuaje
Nataka nilishwe kabisa sio kwa mrija 😅Pambana sana lastborn,ikifika 40 Yako unakula zako kuku Kwa mrija
Hapo ndio majuto na stress zinapokuwa nyingiMungu awasaidie wale wote waliofikisha 40 na hawana muelekeo.....it's torturing
Ukiwa na ukwasi hakuna linaloshindikana😁😁Nataka nilishwe kabisa sio kwa mrija 😅
Asante ngoja nisome
Sana...stage mbaya mnoHapo ndio majuto na stress zinapokuwa nyingi
Au una wasiwasi utashindwa kuperfom kwenye mtanange?In the outside he's having it, ila muulize na yeye awe wazi....aagr utashangaa, nibaki na hii 40 bwana🤣
Unajiona looser.Sana...stage mbaya mno
Huna kazi
Huna kipato
Familia haipo stable
Aisee
Kuufikia ni fumbo lakini sometimes nikiwaona baadhi ya wazee wanavyoishi najifikiria mimi miaka hiyo baadae ntakuwa kwenye hali gani? Naishia kusononeka tu ila ujana ni mtamu mno kungekuwa na uwezo wa kusimamisha miaka ningesimamishia hapa kwenye ujana.Sijawahi hata kuuwaza,yaani kifupi haunisumbui