Mkuu hayo umeatoa wapi? Au nifikra zako kama zawengine.Salaam.
Kwangu mimi nahisi roho ikiacha mwili basi inakutana na kiza kinene na ukimya wa maisha, nafsi na roho yako itakuwepo na inaweza kufika mbali sana, mfano inaweza kufika sayari ya Pluto na kurudi ndani ya sekunde 30.
Kama una uwezo wa kukaa vizuri au kuishi vizuri hapa Duniani basi wakati ni wako ishi unavyotaka maana hakuna maisha mengine zaidi ya hapa Duniani.
Hakikisha vizazi vyako unaviachia Mali za kutosha, na wosia wa kumtukuza Mungu, Maana baada ya hapo unaenda kukutama na Giza nene na ukimya wa maisha.
Ukiwa na dhambi sana basi roho yako itatoka huku ukiumia sana na maumivu yasio na kiasi.
Ukiwa mtenda mema basi roho yako itatoka taratibu, mara nyingi utakuwa kama unajisikia kulala kumbe ndio kila kiungo cha mwili kina shutdown mpaka kiungo cha mwisho ambacho ni Ubongo.
Nayaandika haya baada ya kutafakari sana mwisho wa maisha utakuawaje..
Nawasilisha kwa sauti kuu na feeling za mpepee.
Ni fikra bila uthibitisho kama zilivyo kwenye dini tu.Mkuu hayo umeatoa wapi? Au nifikra zako kama zawengine.
Kwahoyo unamanisha Yesu ni nadharia tu haupo?Ni fikra bila uthibitisho kama zilivyo kwenye dini tu.
Namaanisha adhabu ya kaburi ni hadithi tu za fikraKwahoyo unamanisha Yesu ni nadharia tu haupo?
Sasa hapo mnaanza kuingiza chuki zenu katika Dini fulani, wakati hapo kuna Dini inahidi kwaya na asari tu uko mbinguniTunaenda mbinguni kwa baba. Kuna bikra 72 japo mimi nilikuwa nataka mishangazi 400.
Hata Allah pia ni nadharia tuu hayupoKwahoyo unamanisha Yesu ni nadharia tu haupo?
umetafakari sanaSalaam.
Kwangu mimi nahisi roho ikiacha mwili basi inakutana na kiza kinene na ukimya wa maisha, nafsi na roho yako itakuwepo na inaweza kufika mbali sana, mfano inaweza kufika sayari ya Pluto na kurudi ndani ya sekunde 30.
Kama una uwezo wa kukaa vizuri au kuishi vizuri hapa Duniani basi wakati ni wako ishi unavyotaka maana hakuna maisha mengine zaidi ya hapa Duniani.
Hakikisha vizazi vyako unaviachia Mali za kutosha, na wosia wa kumtukuza Mungu, Maana baada ya hapo unaenda kukutama na Giza nene na ukimya wa maisha.
Ukiwa na dhambi sana basi roho yako itatoka huku ukiumia sana na maumivu yasio na kiasi.
Ukiwa mtenda mema basi roho yako itatoka taratibu, mara nyingi utakuwa kama unajisikia kulala kumbe ndio kila kiungo cha mwili kina shutdown mpaka kiungo cha mwisho ambacho ni Ubongo.
Nayaandika haya baada ya kutafakari sana mwisho wa maisha utakuawaje..
Nawasilisha kwa sauti kuu na feeling za mpepee.
Aisee umeenda deep sanaSalaam.

Jiandae kwa maisha baada ya haya ya mpito.Salaam.

Huu uzi wako una logical Contradictions.Salaam.

Ebu jaribu kutengeneza uzi wako ambao hauna logical contradictions.... Hayo ni mawazo na falsafa zangu.Huu uzi wako una logical Contradictions.
Huwezi kusema kuna roho, Halafu hapohapo useme hakuna maisha mengine baada ya haya ya duniani.
Kama hakuna maisha mengine baada ya haya ya duniani , Vivyo hivyo hakuna roho, dhambi wala Mungu.
Kabla ya kusema kuna roho na Mungu, Kwanza Thibitisha uwepo wa roho na Mungu.Ebu jaribu kutengeneza uzi wako ambao hauna logical contradictions.... Hayo ni mawazo na falsafa zangu.
Hapa maana yake?feeling za mpepee