Massa
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 647
- 794
Mkuu unaelewa lakini hapo nimetoka mwezi wa 3 na nimekaguliwa ndugu wewe hizi habari zako yawezekana umegoogle umelishwa tango pori na naona unachobishana ni kilekile ninachozungumza mimi
Para mzee baba upo uswiss kweli??
Sent using Jamii Forums mobile app