Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 18,330
- 33,954
Hoja yako haina mashiko.
Hata kama inshu za kujilipua sio ngeni humu jf, kwahiyo kila member aliyesoma na kuziamini nyuzi za Parabora ni mwenyeji humu jf? Je unafahamu jf inapata new members/readers wangapi on daily basis? Why unaamini kwamba jf members/readers wote ni wenyeji na wanazijua issues zote zinazojadiliwa humu?
Huamini na unauliza kwa mshangao kwamba huyo Parabora ndo amfanyie mtu mishe aende nje?!!! Maono yako yanagongana yenyewe kuhusu huyo Parabora. It seems huelewi unachokitetea na vile vile huelewi usichokitetea. Sasa ili uendelee kushangaa vyema, angalia/soma kwa makini kifuatacho kisha unieleze umegundua nini, na unijibu je Parabora anaweza ama hawezi kumfanyia mtu mishe ya kwenda nje??:
View attachment 1449374
Faking ya Parabora ni trap! Inatrigger wale walio desperate kujilipua ulaya waombe 'connection' ya kurahisishiwa 'mchakato'. Faking yake ina kila indicator ya kupiga watu hela. Na huwezi jua atakayeingia mtegoni ni nani, aweza kuwa kaka yako mwenye ndoto za kwenda Ughaibuni, au jamaa yako au mpendwa wako yeyote mwenye uroho wa kujilipua ng'ambo.
Use your free mind to think of this.
-Kaveli-
Kila tapeli anamnyonge wake mkuu kuna wengine ndiyo uzi wa kwanza kauona huu akajilipua kweli lahaula analiwa.Hivi hizi ishu za kujilipua ni ngeni humu mkuu? Yaan leo huyo parabora ndo akufanyie mishe wewe uende nje?? Mbona kuna nyuzi maalum kabisa humu za jinsi ya kufika huko?? Anakutapelije ?.kwamba umpe hela au? Poh!
Kila tapeli anamnyonge wake mkuu kuna wengine ndiyo uzi wa kwanza kauona huu akajilipua kweli lahaula analiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Una hoja ya msingi na wenzio pia wana hoja ya msingi. Si kweli kwamba kila mtu ana uwezo huo wa kuchambua mambo na kufanya maamuzi sahihi.Umeshinda! Naona umehemkwa sana! Bye
Una hoja ya msingi na wenzio pia wana hoja ya msingi. Si kweli kwamba kila mtu ana uwezo huo wa kuchambua mambo na kufanya maamuzi sahihi.
Kama asingerekebisha mabandiko yake ya awali nadhani kusingekuwa na shaka.
embu kata Mzizi wa FitinaSawa mkuu Mimi ni tapeli na nauza samaki hapa yombo dovya, karibu nikuhudumie
Mkuu mbona maelezo yako yana utata Uswizi iko EFTA European Free Trade Association na Schengen japo haiko European Union lakini iyo EFTA na Schengen imetosha kwenye makubaliono of free movement without border checks. Hakuna kabisa Uswizi kuangalia vitambulisho ama kukagua vitambulisho.kumbuka Uswizi ni landlocked.mkuu wengi wanachukua kibali cha mda cha kuishi mataifa ya karibu na kibali cha kudumu cha kufanya kazi na kuishi nchini uswisi pale boda ukionesha unaruhusiwa
Mzee umeelewa nilichozungumza? Hapo nimesema kwa mhamiajiMkuu mbona maelezo yako yana utata Uswizi iko EFTA European Free Trade Association na Schengen japo haiko European Union lakini iyo EFTA na Schengen imetosha kwenye makubaliono of free movement without border checks. Hakuna kabisa Uswizi kuangalia vitambulisho ama kukagua vitambulisho.
Nchi za EFTA ni Uswizi, Liechtenstein, Iceland na Norway wote hawapo EU japo Schengen lakini makubaliano yao kwenye treaties raia yeyote kutoka EU na EFTA countries have freedom of movement
Victoire TODAYS
Hata muhamiaji hawangalii vibali kwenye border. Ni ndege tu kutoka third world and non EU countries zikifika port of entries wanakaguliwa Schengen visa kama wanazo. Kama ndege kutoka EU na kunawahamiaji hawakaguliwi. Sometimes border guards wanaweza kukusimamisha kukagua na hii si kwa wahamiaji tu bali kwa kila abiria regardless of their European nationalities .Mzee umeelewa nilichozungumza? Hapo nimesema kwa mhamiaji
Umeshinda! Naona umehemkwa sana! Bye
Naam the last emperor mwenyewe huyooKwa ninavyokufahamu humu jf, haiwezekani akili zako ziende likizo to such extent.
You are compromised by such poor lair. Either, you both are sailing on the same vessel to the dreamed Geneva.
Au possibly ndiyo tayari ushaliwa kimasihara by someone ambaye uliambiwa kuwa ni his colleague kwenye 'connection' based in Tz, kumbe ndiyo Parabora mwenyewe. ππ
-Kaveli-
Kutoka Anness to Cornavin unapanda ndege mbona unazingua mkuu?Hata muhamiaji hawangalii vibali kwenye border. Ni ndege tu kutoka third world and non EU countries zikifika port of entries wanakaguliwa Schengen visa kama wanazo. Kama ndege kutoka EU na kunawahamiaji hawakaguliwi. Sometimes border gyards wanaweza kukusimamisha kukagua na hii si kwa wahamiaji tu bali kwa kila abiria regardless if their European nationally.
Problem comes if you overstay over 3 months unaweza kuwa deported
Kwa ninavyokufahamu humu jf, haiwezekani akili zako ziende likizo to such extent.
You are compromised by such poor lair. Either, you both are sailing on the same vessel to the dreamed Geneva.
Au possibly ndiyo tayari ushaliwa kimasihara by someone ambaye uliambiwa kuwa ni his colleague kwenye 'connection' based in Tz, kumbe ndiyo Parabora mwenyewe. ππ
-Kaveli-
Google search inasaidia aiseeKutoka Anness to Cornavin unapanda ndege mbona unazingua mkuu?
Mkuu Mimi nimeshaachana nao najua Wala stress zaoπMimi nashauri , Mtoa mada usihangaike kuweka Picha wala cha video wala nn.
Acha wenye kuhangaika, wahangaike !!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa si nimekufafanulia inland hukaguliwi regardless you are illegal immigrant, European Union passport holders na hata mswizi mwenyewe. Ukaguzi wa vibali unakuwepo tu uwanja wa ndege kwa abiria wanaotoka non EU countries pekeeKutoka Anness to Cornavin unapanda ndege mbona unazingua mkuu?
Mkuu unaelewa lakini hapo Anness nimetoka mwezi wa 3 na nimekaguliwa ndugu wewe hizi habari zako yawezekana umegoogle umelishwa tango pori na naona unachobishana ni kilekile ninachozungumza mimiSasa si nimekufafanulia inland hukaguliwi regardless you are illegal immigrant, European Union passport holders na hata mswizi mwenyewe. Ukaguzi wa vibali unakuwepo tu uwanja wa ndege kwa abiria wanaotoka non EU countries pekee