Licha ya Magufuli kumpenda Makonda, tamaa ya Ubunge ilionyesha amemdharau Rais na ana maslahi binafsi ubungeni. Magufuli akampiga chini

Licha ya Magufuli kumpenda Makonda, tamaa ya Ubunge ilionyesha amemdharau Rais na ana maslahi binafsi ubungeni. Magufuli akampiga chini

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
28,749
Reaction score
91,814
Hayati Magufuli alimpenda sana Makonda, Licha ya Mashambulizi alopelekewa Makonda na Maadui zake, Mara zote Magufuli alisimama akisema "Makonda Wewe chapa Kazi".

Unaweza jiuliza, Mwenyekiti na Rais, ambaye alimpenda sana Makonda, inakuaje aache Kijana wake ashindwe kwenye Kura za Maoni???.

Kumbe Kitendo Cha Makonda kuukataa Ukuu wa Mkoa, na Kuutaman Ubunge, Kwa Magufuli ,picha aloipata ni kua "Huyu Kijana kumbe anachowaza ni Masilahi yake Binafsi , anaona Mimi niliyemteua Ukuu wa Mkoa sielewi kabisa Jukumu la Kiuongozi linalomfaa".

Mh Polepole ni Mtanzania Mzalendo mwenye Kiwango Cha juu sana Cha Hekima.
 
Tuliwaeleza humu, Magufuli alikuwa disappointed sana na Makonda. Ndio maana hakumpa nafasi yoyote baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2020.
 
Back
Top Bottom