Hahahahaaaa kwa kweli nimeipenda hii coment yako,ni wazo zuri sana.hivi kwa nini na sie tusiwe tunachonganisha nchi ndogo ndogo then twajipatia tumadini?
hapo ndo ninapoipendea US, wanawagombanisha,then wananufaika,kama kweli wametuma askari,usishangae hapo special forces 300 wa kuwalinda wenzao, waliobaki wote mainjinia wa kujichimbia mafuta,
hivi kwa nini na sie tusiwe tunachonganisha nchi ndogo ndogo then twajipatia tumadini? oh no no REWIND Kama hatuwezi kusimamia ya kwetu kwa uwazi,tutawezaje ya watu kwa siri?
Acha mawazo finyu ya kiarabu, aliyemuondoa Kadafi siyo US, ni waarabu wenyewe. Hata Kadafi mwenyewe alisema kuwa wanaompiga ni Alqaeda na hata Albashir alijigamba kuwa ameshiriki kumuondoa -sasa hapo US wanakujaje?
Na sasa hivi itakuwa mojawapo ya nchi maskini duniani!hii nchi haitatawalika kamwe......