Na sisi tumetumia mig33 toka 2006 mig credit, ni mambo ya zamani tu, hayana Uchina wala Umarekani, wanachoogopa ni ukubwa tu wa hayo makampuni yanaweza kutingisha uchumi.Wataalam wa teknolojia wanasema kuwa,hiki anachotaka kukifanya facebook, WeChat ya China wameanza kukifanya kitambo.Ni kama vile facebook inaiga kutoka kwa WeChat ya China.
Wana JF,mnasemaje juu ya hilo?
Kivipi mkuu?.Nina maanisha kuwa hapo uchumi unaweza kutingishwa kivipi mkuu?.Yaelekea kuna kitu unakifahamu,fafanua kiongozi 🙏🙏🙏🙏Na sisi tumetumia mig33 toka 2006 mig credit, ni mambo ya zamani tu, hayana Uchina wala Umarekani, wanachoogopa ni ukubwa tu wa hayo makampuni yanaweza kutingisha uchumi.
Kama vile whatsapp call zilivyoleta pingamizi kwa mitandao ya simu facebook inatumiwa na mabilioni ya watu hivyo hela yao wakiiforce inaweza kuwa hela kubwa duniani, sio kitu kidogo.Kivipi mkuu?.Nina maanisha kuwa hapo uchumi unaweza kutingishwa kivipi mkuu?.Yaelekea kuna kitu unakifahamu,fafanua kiongozi 🙏🙏🙏🙏
Simply because decetrilized monetery system. Ambayo inakwenda kinyume na misingi ya uchumi inayotoka na close oversight of monetary system transactions. Hivyo ni rahisi kwa facebook kudestabilize their fiat moneyKivipi mkuu?.Nina maanisha kuwa hapo uchumi unaweza kutingishwa kivipi mkuu?.Yaelekea kuna kitu unakifahamu,fafanua kiongozi [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Hapo kwenye kutumia sarafu ya kidigitali bado pia ni mgeni wa mambo.Waweza fafanua kidogo kiongozi?🙏🙏Kama vile whatsapp call zilivyoleta pingamizi kwa mitandao ya simu facebook inatumiwa na mabilioni ya watu hivyo hela yao wakiiforce inaweza kuwa hela kubwa duniani, sio kitu kidogo.
Umeniacha kidogo mkuu kutokana na kiingereza cha kiuchumi ulichotumia.Naomba ufafanuzi zaidi katika kiswahili cha kiuchumi mkuu.Pole kwa usumbufu mkuu 🙏🙏Simply because decetrilized monetery system. Ambayo inakwenda kinyume na misingi ya uchumi inayotoka na close oversight of monetary system transactions. Hivyo ni rahisi kwa facebook kudestabilize their fiat money
Mm najua kuna rafiki yangu ila mzungu anaoiga hela ila mm hapana hela zenyewe ngumu kutafuta jamaa ameweka pound30000 Juzi kauza amepata 0.9m poundMimi huo upuuzi siwezi tumia hata iweje.
Aise.Hivi kwenye facebook hiyo hela itatumika kwa ajili ya kufanyia nini, maana bado hata sielewi tu.Mm najua kuna rafiki yangu ila mzungu anaoiga hela ila mm hapana hela zenyewe ngumu kutafuta jamaa ameweka pound30000 Juzi kauza amepata 0.9m pound
Hujawahi hata kusikia bitcoin?Hapo kwenye kutumia sarafu ya kidigitali bado pia ni mgeni wa mambo.Waweza fafanua kidogo kiongozi?🙏🙏
Risque zero haipo,facebook mara kibao wanahackiwa. Imagine mnahackiwa pesa zote zinaibiwa.Kwanini mkuu?.Kuna madhara yoyote?
Ahsante sana mkuu.Nimekuelewa sana hapa kwenye ufafanuzi wako.🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏Hujawahi hata kusikia bitcoin?
Kuelewa mkuu kwanza unatakiwa ujue centralized na decentralized currency.
Centralized currency yenyewe kunakuwa na sehemu moja ambayo kila kitu kinakuwa controlled mfano unaweza kusema benki kuu ya Tanzania, inacontroll shilingi yetu, mabenki etc.
![]()
Then kuna decentralized system ambapo hakuna sehemu moja ile currency inakuwa controlled, hizi cryptocurrency nyingi za sasa kama Bitcoin na Etherium zinatumia mfumo huu, wenyewe wanaita blockchain.
![]()
Hapo umeshaona hio mifumo ilivyo tuje sasa kwenye hizo blockchain na namna ya kupata hizo hela, kwenye bitcoin na hela za kidigitali kama ulivyosema tumezoea tunazipata kwa kuchimba na computer zetu, kila mtu ana uwezo huo na hivyo inakuwa hakuna mmiliki maalumu mfano ni kama internet
Ila hii ya facebook ni tofauti sasa hivi kuna makampuni 28 tu ndio yanamiliki hizo blockchain kama vile visa na vodafone, hivyo mimi na wewe hatuhusiki, tunaweza tu kutumia.
Kama inamaana facebook anafanikiwa kunatengeneza umonopoly fulani hivi, imagine Tanzania watu kibao wanatumia libra shilingi yetu itakuwa na hatma gani? Tutampa mtu mmoja marekani uchumi wetu kama hivi?
Mimi huo upuuzi siwezi tumia hata iweje.
Mimi mpaka leo ni wastern union tu. Sijui world limit tupa kule.Hata Mpesa ilivyoingia mlisema hivi hivi mkakomaa na EMS na western Union
Mimi mpaka leo ni wastern union tu. Sijui world limit tupa kule.