Mm sielewi kbs na nimeamua kutokuelewa kuna mambo nikuyaacha tu kuepusha balaa ila nahisi wao wanawapa mabenki en yanakopesha kwa mainvestors stock expachneAise.Hivi kwenye facebook hiyo hela itatumika kwa ajili ya kufanyia nini, maana bado hata sielewi tu.
Zilipoingia simu za mkononi kuna watu walisema hivi iv mwisho wa siku wakasanda.....hapana chezea teknolojiaMimi huo upuuzi siwezi tumia hata iweje.
huwezi kupingana na technology labda ufe...mbona mpesa unatumia...Mimi huo upuuzi siwezi tumia hata iweje.