๐—ž๐—ฎ๐—บ๐—ฝ๐˜‚๐—ป๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—•๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—ป๐—ฐ๐—ฒ ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—ฑ๐˜‚๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ถ๐˜„๐—ฎ ๐˜‡๐—ฎ๐—ถ๐—ฑ๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐——๐—ผ๐—น๐—ฎ ๐—ฏ๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ผ๐—ป๐—ถ $๐Ÿฒ.๐Ÿฏ ๐˜‡๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—ถ๐—ฏ๐—ถ๐˜„๐—ฎ

๐—ž๐—ฎ๐—บ๐—ฝ๐˜‚๐—ป๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—•๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—ป๐—ฐ๐—ฒ ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—ฑ๐˜‚๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ถ๐˜„๐—ฎ ๐˜‡๐—ฎ๐—ถ๐—ฑ๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐——๐—ผ๐—น๐—ฎ ๐—ฏ๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ผ๐—ป๐—ถ $๐Ÿฒ.๐Ÿฏ ๐˜‡๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—ถ๐—ฏ๐—ถ๐˜„๐—ฎ

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,386
Reaction score
2,833
39d93ff49731a4cbc44dad025419555e.jpg


Watu wa Cryptocurrency wamekumbwa na tukio la Kushtukiza baada ya jukwaa la biashara ya sarafu za kidigitali Binance (cryptocurrency) kudukuliwa.๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ’ฐ

Taarifa zinazosambaa zinadai kuwa zaidi ya dola bilioni 6.3 ($6.3 BILLION) zimeibwa, zikiwemo Bitcoin (BTC), Ethereum, USDT, USDC na sarafu nyingine za kidijitali.

b96c5c2d4f664ad37b6431ca44e7a22f.jpg


๐Ÿ”“ Wadukuzi waliingiaje?
Uchunguzi wa awali wa Binance unaonyesha kuwa shambulio lilianza kupitia kompyuta ya mfanyakazi wa kitengo cha DevOps iliyokuwa imeingiliwa na wadukuzi.

Iliwawezesha washambuliaji kufikia mifumo ya huduma na kuanzisha miamala ya kutoa fedha bila ruhusa.

๐Ÿ›ก๏ธ Je, fedha za watumiaji zimepotea?
Binance imesema itafidia hasara zote zinazo husiana na tukio hilo kwa kutumia mfuko wake wa SARAFU pamoja na fedha za kampuni.

Hackers kila mara wana buni mbinu mpya unasemaje kuhusu tukio hili ๐Ÿ‘‹ ?
 
Screenshot (90).png
Screenshot (90).png

binance wame ni email sahii, niingie kwa account nikajione USDT zangu ka zipo
 
Kama kufidia ni vzr kwa wateja wao. Hawa ndio waungwana. Kuliko serikali ya CCM.
Kazi ni kipimo cha utu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom