Libeneke langu wote mnakaribishwa

Libeneke langu wote mnakaribishwa

Mbona haukuandika kwa kiswahili, mimi sijui kijapani, au sijui ndio lugha gani hiyo.
 
Mkuu mbona tunaumizana macho na hicho sijui ni kijapan au Suomi....? Unatisha aisee
 
samahani mkuu , kuna link ya pili unaweza kujaribu tena mkuu, kama not reachable basi siku nyingine ntaweka nyingine, karibu sana
 
Mkuu mbona tunaumizana macho na hicho sijui ni kijapan au Suomi....? Unatisha aisee

mkuu usihangaike kuumiza macho kwenye hiyo michoro, nataka uangalie picha tuu, teh teh, hiyo michoro niweaandiakia wa hapa hapa, naogopa wanaweza wasielewe na hatutawapata, teh teh
 
Picha bila caption ni sawa na uji wa bila limau kwa mgonjwa! Je target market yako ni wa-Japan (Japanese)?
 
Back
Top Bottom