Niko sambamba na Watanzania wenzangu kwa lolote. Kesho naanza kuvaa nguo nyeusi hadi siku ya maandamano hayo.
nakuunga mkono kuanzi kesho mambo ya blakiiiiiiiiiiiiiiii
Niko sambamba na Watanzania wenzangu kwa lolote. Kesho naanza kuvaa nguo nyeusi hadi siku ya maandamano hayo.
Hivi huyu Masoud amewahi kuleta mabadiliko gani Chadema? Au ndiyo yale mambo yetu ya kiswahili ooooh marehemu alikuwa mzuri sana ooooh marehemu alikuwa anmpenda sana mke wake kumbe marehemu mwenyewe alikuwa chapombe kila siku anatukana watu hadharani.
Mlima gani kuna milima mingi Kitonga, Sekenke, Nyashana, fafanua baada ya kutoka Mlimani wapi?
acha upuuz weye mwana CCM, Kitu gani uelewi kuhusu mlimani...ndo nyienyie msio wazalendo,na kama uelewi basi haya mambo hayakuhusMlima gani kuna milima mingi Kitonga, Sekenke, Nyashana, fafanua baada ya kutoka Mlimani wapi?

mabango yataandikwaje?
Serikali ya magamba sijui kama itatoa kibali cha maandamano haya. Itaweka mkwara mzito na kumwaga FFU wa kutosha ili kutisha Watanzania, ila mimi nayaunga mkono maandamano haya maana ufisadi uliokithiri unazidi kufanywa ndani ya nchi yetu.
EPA shilingi 133 billioni walikwapua, Meremeta wamekwapua shilingi bilioni 155 (na wahusika wote wa ukupuaji wa mabilioni haya bado wanapeta mtaani), Richmond/Dowans pamoja na kulipwa shilingi 156 millioni kwa siku na TANESCO bila kuzalisha umeme hata tone moja sasa wanataka kukwapua shilingi bilioni 111.
Imefika wakati Watanzania tusimame kwa sauti moja na kusema hadharani SASA UFISADI BASI.
wangesubiri walipwe kwanza ndipo maandamano yangkuwa matamu. Unajua hata wasipolipwa hatutaona tofauti yoyote, wacheni walipw kwanza ndipo moto unaweza kuwaka vizuri, vinginevyo hayatakuwa na mvuto