TSNP: Tumeungana na LHRC kupinga malipo ya asilimia 15

Abdul Nondo7

Member
Feb 22, 2017
9
25
Mtandao wa wanafunzi Tanzania (TSNP) kupitia kurugenzi yetu ya sheria, kama wahanga watarajiwa, tumeafikiana na mawakili wetu takribani 10, kuungana na mawakili wa kituo cha haki na sheria (LHRC) kwajili ya kwenda mahakamani kupinga malipo ya 15% kwa bodi ya mikopo ambayo awali yalikuwa ni 8%.

TSNP tunatoa wito kwa chama cha walimu Tanzania (CWT), Muungano wa wafanyakazi katika sekta ya viwanda na biashara (TUICO), Umoja wa wafanyakazi wa afya wa serikali (TUGHE), Muungano wa wafanyakazi wa serikali za mitaa (TALGWU) na wadau wengine wenye maslahi na suala hili, kujitokeza na kuunganisha nguvu zetu kwajili ya kupinga ongezeko hili la 15% (zaidi ya 80%) katika vyombo vya sheria.

Tunawapongeza sana LHRC kwa jambo hili muhimu. kikao cha kuleta muafaka kitaketi kesho kutwa ya juma nne ya tarehe 28, kwenye ofisi za LHRC.

Bob Wangwe
-Mkurugenzi wa sheria TSNP
 
Tz hatari sana hii ni ishara hata kukopesha huwa wanajilazimisha ndio maana makato wanakomoa
 
Safii, pia nimkumbushe faru unapomziba mtu mdomo hata kama alikuwa hataki kuongea atapambana afungue mdomo na kuongea...kumminya mtu kunamfanya ajifikirie mara 2 juu ya haki zake thanks to God, watanzania tunaamka
 
Mtandao wa wanafunzi Tanzania (TSNP) kupitia kurugenzi yetu ya sheria, kama wahanga watarajiwa, tumeafikiana na mawakili wetu takribani 10, kuungana na mawakili wa kituo cha haki na sheria (LHRC) kwajili ya kwenda mahakamani kupinga malipo ya 15% kwa bodi ya mikopo ambayo awali yalikuwa ni 8%.

TSNP tunatoa wito kwa chama cha walimu Tanzania (CWT), Muungano wa wafanyakazi katika sekta ya viwanda na biashara (TUICO), Umoja wa wafanyakazi wa afya wa serikali (TUGHE), Muungano wa wafanyakazi wa serikali za mitaa (TALGWU) na wadau wengine wenye maslahi na suala hili, kujitokeza na kuunganisha nguvu zetu kwajili ya kupinga ongezeko hili la 15% (zaidi ya 80%) katika vyombo vya sheria.

Tunawapongeza sana LHRC kwa jambo hili muhimu. kikao cha kuleta muafaka kitaketi kesho kutwa ya juma nne ya tarehe 28, kwenye ofisi za LHRC.

Bob Wangwe
-Mkurugenzi wa sheria TSNP
Don255 like this
 
Chuo kikuu Kama UDSM,UDOM nk vingeungana kufanya mdahalo huku wakialika wanazuoni wa sheria kuchambua jambo hili na kulirusha luningani.
Tatizo wanachuo waleo hawapo conscious!! Wanajua kufuatilia EPL (mikeka),POMBE na MADEMU.
 
Sasa mpk sasa mwamvuli wa TUs Tanzania upo kimya mpk watu wa pembeni wanaenda duuh hii term kila idara ime-freeze

Malaika mtakatifu waonee huruma watumishi wako.
 
Its time
Mtandao wa wanafunzi Tanzania (TSNP) kupitia kurugenzi yetu ya sheria, kama wahanga watarajiwa, tumeafikiana na mawakili wetu takribani 10, kuungana na mawakili wa kituo cha haki na sheria (LHRC) kwajili ya kwenda mahakamani kupinga malipo ya 15% kwa bodi ya mikopo ambayo awali yalikuwa ni 8%.

TSNP tunatoa wito kwa chama cha walimu Tanzania (CWT), Muungano wa wafanyakazi katika sekta ya viwanda na biashara (TUICO), Umoja wa wafanyakazi wa afya wa serikali (TUGHE), Muungano wa wafanyakazi wa serikali za mitaa (TALGWU) na wadau wengine wenye maslahi na suala hili, kujitokeza na kuunganisha nguvu zetu kwajili ya kupinga ongezeko hili la 15% (zaidi ya 80%) katika vyombo vya sheria.

Tunawapongeza sana LHRC kwa jambo hili muhimu. kikao cha kuleta muafaka kitaketi kesho kutwa ya juma nne ya tarehe 28, kwenye ofisi za LHRC.

Bob Wangwe
-Mkurugenzi wa sheria TSNP
u

its time people need to be serious. Kama mtu kakopa na kabakiza one third ya mshahara wake maana take kabakuza 33% then unachukua 15% ghafla katikati ya Mkopo maaba take unamuacha na 18% lets go into numbers kama huyu bwana Ana basic ya 1,000,000 badala ya angalau kupokea 330,000 sasa atapokea 180,000. Si dhani kama serikali yangu imefanya maamuzi sahihi hapa. Plz Ndugu we need to reverse that decision.
 
HII NCHI INA MAMBO YA AJABU !

Ninyi ndio mnafanya wengine tangu tuhitimu vyuo serikali imesita kutuajiri, MNAONGOZWA NA MIHEMKO YA KISIASA na KUTAFUTA SIFA NA UMAARUFU Wa KIJINGA. ETI WAHANGA WATARAJIWA, Kwa MIHEMKO Hiyo UTAKUWA MTARAJIWA MPAKA KIAMA - NANI ATAKUAJIRI. Watumishi wana vyama vyao na wanafanya uchaguzi wa kuchagua viongozi wao kila mara - Na wanakatwa MISHAHARA Kila mwezi ya kuendesha hivyo vyama vyao - Sasa nyie mtandao wa wanafunzi na watumishi wapi na wapi wakati KILA MTU ALIKOPA KWA HIARI.

- Tunaweza kumlaumu Magufuli bure kwa kusimamisha ajira lakini kiukweli nchi hii WATU HAWAJIELEWI KABISA - MIHEMKOOOOOO YA SIASA NDIO MLO, NDIO DINI - KILA MTU MWANAHARATI
 
Kumbuko kuwa mihemko ya wanafunzi unaowashambulia imesababishwa na mihemko ya wanasiasa wanaovunja mikataba kisa wao ni viongozi. TUCTA ieshawekwa kwapani, watu wafanyaje.

Kila mtu alikopa kwa hiari kwa makubaliano ya kukatwa 8% baada ya kupata ajira. Inakuwaje sheria mpya iwakumbe na wale ambao walishakukubaliana kulipa 8%?
Tena hata wale walianza kulipa wameongezewa makato.
Hili ulioni kuwa ni mihemko ya kisiasa?
Mambo usiyoyajua ni busara kuyapotezea.
 
Hata kama wazo limeanzishwa na mtandao wawanafunzi bado ni wazo bora, maana kama mikataba tunayowekeana haiheshimiwi,watu wanajiamulia wao tu si sahihi hata kidogo.
 
Kumbuko kuwa mihemko ya wanafunzi unaowashambulia imesababishwa na mihemko ya wanasiasa wanaovunja mikataba kisa wao ni viongozi. TUCTA ieshawekwa kwapani, watu wafanyaje.

Kila mtu alikopa kwa hiari kwa makubaliano ya kukatwa 8% baada ya kupata ajira. Inakuwaje sheria mpya iwakumbe na wale ambao walishakukubaliana kulipa 8%?
Tena hata wale walianza kulipa wameongezewa makato.
Hili ulioni kuwa ni mihemko ya kisiasa?
Mambo usiyoyajua ni busara kuyapotezea.
Sheria ya kutoka 8% mpaka 15% imepitishwa na bunge ambalo ndio wawakilishi wa wananchi - Wanatunga sheria kwa niaba ya wananchi. Kwanza unapokatwa pesa kubwa ni FAIDA maana unamaliza deni lako MAPEMA Uwe HURU
 
Back
Top Bottom