genus
Senior Member
- Dec 28, 2015
- 167
- 69
Kwa sasa naona kama kuna haja ya viongozi wa upinzani kuitisha maandamano ya amani ya nchi nzima ili kupaza sauti zetu na kupinga vitendo vya serikali vya ubakwaji wa demokrasia na unyanyasaji kwa viongozi wa upinzani unaofanywa na polisi kwa amri ya wakuu wa nchi...
Angalizo langu:
Viongozi hasa wa dini kwa sasa wapo kimya kama hawaoni yanayotokea lakini yakitokea machafuko utawasikia wakitutaka tuombee amani, mbona hata hawawakemei hao wanaovuruga amani?
Na hawa wanaodiriki kutuaminisha kuwa tuwaombee viongozi wetu je tuwaombee kwa Mungu yupi?.......