LHRC: Tumesikitishwa vikali na uamuzi wa Serikali kuzuia upatikanaji wa Mtandao wa X (zamani Twitter)

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
3,177
Reaction score
7,472
PUBLIC STATEMENT ON THE BLOCKING OF X - LHRC (1)_page-0001.jpg

PUBLIC STATEMENT ON THE BLOCKING OF X - LHRC (1)_page-0002.jpg
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUFUNGIWA KWA MTANDAO WA X (ZAMANI TWITTER)

Dar es Salaam, 4 Juni 2025

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimesikitiswa na kinalaani vikali uamuzi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa kuzuia upatikanaji wa mtandao wa kijamii wa X (zamani Twitter), jambo ambalo limethibitishwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry Silaa, kupitia mahojiano ya moja kwa moja kwenye televisheni.

LHRC inaitaka Serikali ya Tanzania kuchukua hatua zifuatazo mara moja:
1. Kurejesha upatikanaji wa Mtandao wa X, Clubhouse, Telegram na majukwaa mengine ya kidijitali yaliyofungiwa.

2. Kuhakikisha uwazi katika mchakato wa udhibiti wa kidijitali na kuwashirikisha wadau katika kuandaa sera za usimamizi wa maudhui zinazoenzi haki za binadamu.

3. Kuheshimu Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na mikataba ya kimataifa kuhusu kulinda haki ya kujieleza, kupata taarifa, na uhuru wa kidijitali.

LHRC inatoa wito kwa wananchi, asasi za kiraia, na jamii ya kimataifa kusimama pamoja kwa nguvu moja kutetea na kulinda uhuru wa kidijitali nchini Tanzania

Alichokisema Waziri Silaa, soma hapa ~
Waziri Silaa: X(Twitter) walianza kuruhusu picha za ngono, ukiona hupati kitu mtandaoni uje Serikali inafanya kazi kumlinda mlaji
 
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUFUNGIWA KWA MTANDAO WA X (ZAMANI TWITTER)

Dar es Salaam, 4 Juni 2025

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimesikitiswa na kinalaani vikali uamuzi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa kuzuia upatikanaji wa mtandao wa kijamii wa X (zamani Twitter), jambo ambalo limethibitishwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry Silaa, kupitia mahojiano ya moja kwa moja kwenye televisheni.

LHRC inaitaka Serikali ya Tanzania kuchukua hatua zifuatazo mara moja:
1. Kurejesha upatikanaji wa Mtandao wa X, Clubhouse, Telegram na majukwaa mengine ya kidijitali yaliyofungiwa.

2. Kuhakikisha uwazi katika mchakato wa udhibiti wa kidijitali na kuwashirikisha wadau katika kuandaa sera za usimamizi wa maudhui zinazoenzi haki za binadamu.

3. Kuheshimu Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na mikataba ya kimataifa kuhusu kulinda haki ya kujieleza, kupata taarifa, na uhuru wa kidijitali.

LHRC inatoa wito kwa wananchi, asasi za kiraia, na jamii ya kimataifa kusimama pamoja kwa nguvu moja kutetea na kulinda uhuru wa kidijitali nchini Tanzania

Alichokisema Waziri Silaa, soma hapa ~ Waziri Silaa: X(Twitter) walianza kuruhusu picha za ngono, ukiona hupati kitu mtandaoni uje Serikali inafanya kazi kumlinda mlaji
umbwa hawa wanakwepa spana zinapigwa kila kona kata funua na bado
 
Hapo bado hawajamaliza tatizo...

Wangepiga marufuku matumizi ya smartphone kbs na device zote zenye uwezo wa kuingia mtandaon..

Hawa watu ni waoga wa spana..
 
🤣🤣🤣🤣🤣 mimi nashukuru JF inapatikana muda wote bila VPN nk.
 
wanasikitika sana kuzuiwa kwa mtandao wa x, ila hawasikitiki kwa kanisa la gwajima na waumini wake nchi nzima kuzuiwa kusali, jambo linalovunja haki ya kikatiba ya kusali. kosa la gwajima (kama lipo), lakini wanaoadhibiwa ni waumini ambao hawajafanay kitu. hawa legal and human right centre wanafiki sana.
 
Hapo bado hawajamaliza tatizo...

Wangepiga marufuku matumizi ya smartphone kbs na device zote zenye uwezo wa kuingia mtandaon..

Hawa watu ni waoga wa spana..
Yea ikibidi Tuwe tunatumia simu za mezani kabisa .
 
CCM IMEKWOLIFAI VIGEZO VYOTE VYA KUONDOKA DUNIANI.

1. KUTEKA RAIA WEMA.
2. KUUA RAIA WEMA.
3. KUUMIZA RAIA WEMA.
4. KUSHAMBULIA VIONGOZI WA DINI.
5. KUFUNGIA MITANDAO YA KIJAMII.
6.: KUFUNGIA MAKANISA.
7. MATUMIZI MABAYA YA MADARAKA.
8. UFISADI NA WIZI WA MALI YA UMMA.
9. KUWAPA WAPINZANI KESI ZA UONGO.
10. KUIBA KURA BILA AIBU.

Kama Kuna jambo nimewasingizia naomba mtaje namba yake nitalifuta.
 
Back
Top Bottom