LGTI Dodoma mnawasumbua Watanzania

LGTI Dodoma mnawasumbua Watanzania

Ta Muganyizi

R I P
Joined
Oct 19, 2010
Posts
5,355
Reaction score
2,737
Yaani kama kuna Mtanzania anaweza kuomba Chuo LGITI Dodoma online ajitokeze hapa. Ukute Muda huu IT wa Chuo anasubiri Mshahara wakati hakuna kinachowezekana.

Simu hawapokei, wanakosesha mapato serikali, yaani shida tupu.

Hii nchi inakuwa na vijana wa hovyo sana.
 
Daaah watu kama hawa ndio tunawapoteza JF😭😭😭😭
RIP Mushaija
 
Mods kama kweli Ta Muganyizi ametutoka kweli huu uzi tuendelee nao kama post yake ya Mwisho kabisa hapa Jamvini. Inatuuuma sana kwa mtu tulieshare mawazo, utani, matusi nk anapotutoka😭😭😭
 
R.i.p mwanba. Mawazo yako yataishi milele. Emotional farewell
 
Yaani kama kuna Mtanzania anaweza kuomba Chuo LGITI Dodoma online ajitokeze hapa. Ukute Muda huu IT wa Chuo anasubiri Mshahara wakati hakuna kinachowezekana.

Simu hawapokei, wanakosesha mapato serikali, yaani shida tupu.

Hii nchi inakuwa na vijana wa hovyo sana.
 
Yaani kama kuna Mtanzania anaweza kuomba Chuo LGITI Dodoma online ajitokeze hapa. Ukute Muda huu IT wa Chuo anasubiri Mshahara wakati hakuna kinachowezekana.

Simu hawapokei, wanakosesha mapato serikali, yaani shida tupu.

Hii nchi inakuwa na vijana wa hovyo sana.
Maisha ni fumbo aisee ... pumzika kwa amani kyoma ..
 
Back
Top Bottom