N Ngariba1 JF-Expert Member Joined Jan 12, 2017 Posts 1,900 Reaction score 4,041 Sep 14, 2019 #21 Ilisolokobwe said: nunua card ya startimes na CAM weka ktk tv yako huna haja ya kununua kingaView attachment 1207631View attachment 1207632View attachment 1207633 Click to expand... Asante mkuu. Hiki ndicho nilitamani kusikia. Sikuwa naamini kuwa hizi slot kwenye tv zimewekwa bila kazi. Wanauzaje?
Ilisolokobwe said: nunua card ya startimes na CAM weka ktk tv yako huna haja ya kununua kingaView attachment 1207631View attachment 1207632View attachment 1207633 Click to expand... Asante mkuu. Hiki ndicho nilitamani kusikia. Sikuwa naamini kuwa hizi slot kwenye tv zimewekwa bila kazi. Wanauzaje?
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 24,847 Reaction score 61,886 Sep 14, 2019 #22 Ngariba1 said: Wanauzaje? Click to expand... akiweka bei nitagi, naziona ebay/aliexpress inasimama 50 usd
Ngariba1 said: Wanauzaje? Click to expand... akiweka bei nitagi, naziona ebay/aliexpress inasimama 50 usd
N Ngariba1 JF-Expert Member Joined Jan 12, 2017 Posts 1,900 Reaction score 4,041 Sep 14, 2019 #23 dronedrake said: akiweka bei nitagi, naziona ebay/aliexpress inasimama 50 usd Click to expand... Poa boss. Ngoja tusubiri.
dronedrake said: akiweka bei nitagi, naziona ebay/aliexpress inasimama 50 usd Click to expand... Poa boss. Ngoja tusubiri.
Ilisolokobwe JF-Expert Member Joined Jul 29, 2013 Posts 1,865 Reaction score 833 Sep 16, 2019 #24 subiri bei itajulikana mkuu masna ndipo tunapoelekea, utakumbuka majuzi tcra walitangaza kuwa hakuna haja ya mlundikano wa ving'amuzi kwa wateja. akina azam na nduguze watatuuzia kadi pekee. Ngariba1 said: Asante mkuu. Hiki ndicho nilitamani kusikia. Sikuwa naamini kuwa hizi slot kwenye tv zimewekwa bila kazi. Wanauzaje? Click to expand...
subiri bei itajulikana mkuu masna ndipo tunapoelekea, utakumbuka majuzi tcra walitangaza kuwa hakuna haja ya mlundikano wa ving'amuzi kwa wateja. akina azam na nduguze watatuuzia kadi pekee. Ngariba1 said: Asante mkuu. Hiki ndicho nilitamani kusikia. Sikuwa naamini kuwa hizi slot kwenye tv zimewekwa bila kazi. Wanauzaje? Click to expand...