Lets talk about hacking and i mean real hacking (web phishing)

Ok wakuu aina kwere leo tuta angalia Facebook.. sasa kabla ya kusonga mbele chekini hizi link mbili na ipi ni fake na ipi real au zote ni sawa au unazionaje:

1. Log In | Facebook

2. NIMESHAIDELETE HII PAGE
 
I wouldn't call phishing real hacking, its probably the lowest form of hacking there is.
 
Yah ur rite about that. Its just when i said real hacking i didnt mean the best hacking or somthing like that i meant in a way that this is a hack that really works and people whithout this knowlege and sometimes with knowledge of this get hacked.
 
It's good knowledge though..) Afu mkuu jana nilikuPM, vipi hujaiona PM yangu?
 
Niliisha wahi kuingia kwenye mtego huu mkuu wajuvi waka hack account yangu ya yahoo, acha watume mambo ya ajabu kwa watu wangu, ilikua aibu
 
Tofautisha "hack" na "crack". Thread haina ethics za hackers, labda "script kiddies" na crackers. Niambie the inner workings of and IP spoof and how can one exploit unpatched Unix DNS boxes with sequence probability math, kidoogo ntaanza kusikiliza. Lakini hizi reverse engineering tricks kwa watu wenye zero brwser security na birthday passwords, huku birthdays zao ziko FB, that doesn't impress me.
 
Kiranga bana
kwani real ethics za hackers ni zipi hizo ?
 
Mkuu you are right na sikupingi lakini pia kumbuka sio kila mtu ana uelewa kama wako na pia dhumuni ya kuanzisha hii thread sio ya kujitamba kama najua au ya ku kuimpress mtu hapana bali ni kulelimishana juu la hili swala kwa wale ambao hawana uelewa na hili na jinsi ya kuwa makini zaidi nadhani utakuwa umelewa dhumuni langu.
 
Kiranga bana
kwani real ethics za hackers ni zipi hizo ?

Original meaning ya hacker ni watu wanaohangaika bila kuchoka kuongeza system productivity. Baadaye ndipo hackers ikaja kuwa associated na kupata access kwenye systems ambazo hutakiwi kupata access, which is more cracking than hacking.

Leo hii maana halisi ya hacker imepotoshwa kabisa kiasi cha kwamba ukisema "hacker" watu wanafikiri "cracker"

Original hacking is about gaining information on how systems work, coding, not doing harm with your ability similar to a Kung-Fu master with the ability to kill but so restrained he wont use it.

Siku hizi kila script kiddie mwenye access na ki program kilichotengenezwa na mtu mwingine, bila hata kujua architecture, na concept, let alone coding, anaona kutumia a ready made tool ni hacking.

Ona hapa

Hacker ethic - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Back
Top Bottom