Eeeh bana huu mwaka wa mafanikio lakini kwa watakaochakarika :lol:
Lakini umezungumza swala wewe kuwa mazoezi pia nina mpango wa kula tizi kali sana tatizo muda bana!!!:hatari:
aaah muda utapata tu bana.. inahitaji commitment though. Sema ukiji tune ufanye asubuhi itapendeza zaidi... Utatoka kitambi shauri yako....
hehehe unashop dubai nasikia mamie??I feel great. . .
I'm happy and excited about my trip next week...CAN'T WAIT. . alafu i'm excited about going shopping, which is where i'm heading right now so I is Happy. . happy. . .happy.
hehehe kwahiyo leo full maharage mezani... Nani mpikaji? Au ndo inabidi kufanya reference ila thread ya lizzy?
Ntakuja, ila hiyo nyama unayotaka kunipa inafika hata robo? isije kuwa kafinyango kamoja ka mshikakiSi ungekuja kwangu nikukopeshe kilo ya nyama?
Nimeprint zile notisi ya mapishi, leo niko maabara nafanya expermenthehehe kwahiyo leo full maharage mezani... Nani mpikaji? Au ndo inabidi kufanya reference ila thread ya lizzy?
Unaitwa MMU...
Ale nyama !
Kwani ana wageni?
Au kuna sikukuu leo ?
Kongosho hamia huku.
Kwangu Marastafarian hua wanapakimbia
How are you today?
Siku yako yako imeanza vizuri?
Au vibaya? Inakwendaje?
Je kuna lililokufurahisha au kukukera leo hii?
Kuna lipi ungependa ku share with us today...?
Lets socialize. . . .
Kongosho Nani ananiita? Kama ni Byshernger simtaki said:Ndio huyo huyo anakuita!... Eti anasema urudishe body spray yake uliondoka nayo asubuhi..
Yangu imekaa ovyo
Nimechoka
Akili iko kivyake
Mwili uko Kivyake