Lets socialize. . . .

How are you today?
Siku yako yako imeanza vizuri?
Au vibaya? Inakwendaje?
Je kuna lililokufurahisha au kukukera leo hii?
Kuna lipi ungependa ku share with us today...?
Lets socialize. . . .

siku yangu imeenda poa, lo yan 2nafanya mitihani ya kufunga chuo, dah leo 2mefanya development studies noma.
 
pole na mitihani... Utatoka tu.. Muhimu usipate sup... Hapo ukifunga chuo full bata...
 
Poa husny.. Kesho ntakuja kukuletea zawadi, matokeo yako mazuri sana.. Halafu nikumbushe material ya advance..

ahsnte mpendwa, nasubiria kwa hamu zawadi. Usisahau material ya geography.
 
Back
Top Bottom