Lets socialize. . . .

Am gud
siku imeanza vibaya
mtu kaniweka mahala toka saa 2.30 mpka sa hv
yupo ofisini kakausha tu
ndo naondoka na mm nw
akiingia anga zangu nami namweka

Duh pole sana.. Huwa inakera hii..
 
Eeeh bana huu mwaka wa mafanikio lakini kwa watakaochakarika :lol:

Lakini umezungumza swala wewe kuwa mazoezi pia nina mpango wa kula tizi kali sana tatizo muda bana!!!:hatari:

aaah muda utapata tu bana.. inahitaji commitment though. Sema ukiji tune ufanye asubuhi itapendeza zaidi... Utatoka kitambi shauri yako....
 
aaah muda utapata tu bana.. inahitaji commitment though. Sema ukiji tune ufanye asubuhi itapendeza zaidi... Utatoka kitambi shauri yako....

I need to commit myself kwa kweli maana kitambi no noma!

Sema recently nimegundua diet inamfanya mtu awe kwenye shape fasta kuliko hata tizi
 
I feel great. . .

I'm happy and excited about my trip next week...CAN'T WAIT. . alafu i'm excited about going shopping, which is where i'm heading right now so I is Happy. . happy. . .happy.
 
I feel great. . .

I'm happy and excited about my trip next week...CAN'T WAIT. . alafu i'm excited about going shopping, which is where i'm heading right now so I is Happy. . happy. . .happy.

Trip to where grlfriend!?
 
I feel great. . .

I'm happy and excited about my trip next week...CAN'T WAIT. . alafu i'm excited about going shopping, which is where i'm heading right now so I is Happy. . happy. . .happy.
hehehe unashop dubai nasikia mamie??
 
hehehe kwahiyo leo full maharage mezani... Nani mpikaji? Au ndo inabidi kufanya reference ila thread ya lizzy?

Ale nyama !
Kwani ana wageni?
Au kuna sikukuu leo ?
Kongosho hamia huku.
Kwangu Marastafarian hua wanapakimbia
 
Si ungekuja kwangu nikukopeshe kilo ya nyama?
Ntakuja, ila hiyo nyama unayotaka kunipa inafika hata robo? isije kuwa kafinyango kamoja ka mshikaki

hehehe kwahiyo leo full maharage mezani... Nani mpikaji? Au ndo inabidi kufanya reference ila thread ya lizzy?
Nimeprint zile notisi ya mapishi, leo niko maabara nafanya experment

Unaitwa MMU...

Nani ananiita?
Kama ni Byshernger simtaki, kafulia
Ana ngozi ya kitimoto kila nikichuna natoka na vijinyoya tu
 
How are you today?
Siku yako yako imeanza vizuri?
Au vibaya? Inakwendaje?
Je kuna lililokufurahisha au kukukera leo hii?
Kuna lipi ungependa ku share with us today...?
Lets socialize. . . .

Nimeamka saa 6, BUSINESS AS USUAL..
Siku imeanza vizuri, kwani nimekula chapati, chai ya maziwa na kiporo cha maharagwe.
So far sijafurahi kiviile...
nothing to share with you, otherwise ningekuwa nishaanzisha thread!
ADIOS...
 
Cku imeenda poa, nimetoka job n nw nipo hapa Real People napata mbili tatu na my hommies..
 
Kongosho Nani ananiita? Kama ni Byshernger simtaki said:
Ndio huyo huyo anakuita!... Eti anasema urudishe body spray yake uliondoka nayo asubuhi..
 
Back
Top Bottom