Kiresua
JF-Expert Member
- May 13, 2009
- 1,184
- 259
Dah! Hakuna hata m1 asiyependa kupata mahela na uhuru! Tunangopa! Hata mm. Nashukuru kwa uzi huu, unaamsha hasira zangu. Nimefanya kz kwa miaka 6, naona kama natumikia tumbo tu, sijafanya kitu cha maana. Nilikuwa na mpango wa kuacha kz in my 45yr, na kutumia gratuite yangu kuboost mtaji ambao tayari unafanya kazi kwa ubia na best wangu. Tunakabiliwa na tatizo la muda wa usimamizi, da! Ni kero sana! Lkn naona nachelewa sana kuacha kz!