Let's share the story: experince ilikuwaje ulipofanya maamuzi magumu ya kuacha kazi ya kuajiriwa?

Dah! Hakuna hata m1 asiyependa kupata mahela na uhuru! Tunangopa! Hata mm. Nashukuru kwa uzi huu, unaamsha hasira zangu. Nimefanya kz kwa miaka 6, naona kama natumikia tumbo tu, sijafanya kitu cha maana. Nilikuwa na mpango wa kuacha kz in my 45yr, na kutumia gratuite yangu kuboost mtaji ambao tayari unafanya kazi kwa ubia na best wangu. Tunakabiliwa na tatizo la muda wa usimamizi, da! Ni kero sana! Lkn naona nachelewa sana kuacha kz!
 
Naona tatizo hapa sio kuwa na biashara au mtaji au kuajiriwa, ishu ni jinsi ya kupata Management nzuri za Biashara zetu, Mimi mchango wangu ni kuwa tuanzishe Business Management Agency ambayo itaoperate kama NICOL, ambayo tutaingiza mtaji wetu na kuajiri watu wa kuendesha hiyo mitaji, ila tujitahidi isiwe kama NICOL exactly, changieni wadau.
 
Wana Jf, Heshima kwenu nyote.
Mimi ni muajiriwa kwenye kampuni ya private. Ninajituma sana kwenye kazi, na huwa niko proactive kwenye kupanga mambo yangu ya kikazi. Huwa sipendi mambo yatokee kwa surprise afu nianze ku react kutafuta soln.
Bidii imenifanya niweze kupitia levels mbali mbali za kikazi kwenye management ya kampuni.
Tatizo linakuja pale ambapo huwa ninaanza kutafakari hatima ya maisha yangu. Huwa sikubaliani na wazo la kufanya kazi mpaka nistaafu. Huwa najiuliza, hivi nikiamua kufanya shughuli yangu mwenyewe ( hasa biashara) sitatoka kimaisha kutokana na bidii yangu? Nilishawahi fanya biashara fulani ambayo ilikuwa inalipa sana, tatizo lilikuja kwenye supervision .....most of the time nakuwa kazini. Na kama mnavojua watu sio waaminifu, basi ile biashara ilikuja ikafa.
Naombeni yeyote mwenye experience ya kuajiriwa kisha kuamua kuacha kwa hiari na kwenda kujiajirii atusaidie kutuelezea ilikuwaje akafikia uamuzi huo?

Mambo mengine kama vile "Kujipanga kwanza kabla ya kuacha kazi ..yapo kwenye mchakato tayari".

shukrani

Consider this simple calculation:
If you’re working 8 hours a day, 5 days a week and 50 weeks in 1 year
1 person × 8 hours × 5 days × 50 weeks = 2,000 hours in 1 year
Suppose you’ll be working only a maximum of 40 years all throughout your life (25 years old ~ 65 years old)
2,000 hours × 40 years= 80,000 hours !!
Imagine if you are paid $8 per hour, $10 per hour or $12 per hour respectively.
$8 × 80,000 hours = $ 640,000
$10 × 80,000 hours = $ 800,000
$12 × 80,000 hours = $ 960,000
The figures above could only be your maximum income potential for the next 40 Years !! Now how much do you think your Dream House cost? Your Dream Car? Or Vacation with your family abroad, Or education for your kids.
Even if you get your dreams at this rate, will you be able to enjoy at such an old age 60?
Then what is really the secret to financial freedom? Simple, it is by
“MULTIPLYING OF TIME THROUGH OTHERS” (MOTTO)
Let’s consider again the simple calculation above, but this time, let us multiply your time to 10 people who will be working for you.
10 People × 8 Hours × 5 Days × 50 Weeks × 4 Years = 80,000 Hours !!
Take a careful look at the computation above. If there are 10 people working under you, you actually accumulate the same 80,000 Hours as when you’re only working alone. The BIG DIFFRENCE is time, you will only do it for 4 years instead of 40 years. You’ve just practically saved 36 years of your life !!
“Therefore, it is not only a matter of money you EARN, but also the time that you SAVED”
 
Mie niliacha kuajiliwa baada ya kusoma kitabu Chenye title "RICH DAD AND POOR DAD" by KI.... Sikumbuki Sawa Sawa mtunzi, kwa wale waliokisoma watanikumbusha, maana nilimpa za wadi rafiki yangu hicho kitabu. Tafadhali naomba usome hicho kitabu, kitakubadilisha sana. Nakumbuka moja ya sentesi zilizonikaa ni kuwa,kuajiliwa ni utumwa na unashindwa kufikiri. Anaendelea kusema, mwajiliwa baada ya kulipa kodi ya nyumba,Maji,umeme na Ada ya shule anajiona ame win. Sasa kinachobaki hakiwezi kumsitiri baada ya kustaafu na wengine hufa kwa ugonjaw wamoyo au bp baada ya hela atakazozipata baada ya kustaafu
Ndo Obama kasema CHANGE. Mabadiliko yoyote lazima yanakuja na mshituko na lazima tukubaliane nayo.
Moja ya usemi wa Warusi" asiyefanya risk asinywe shampeini" yaani shampeini hunywewa baada ya mafanikio. Sasa utafanikiwaje Kama hutafanya risk au mabadiliko.?
Kaka chukua maamuzi sasa hivi, hujachelewa
 
Asanteni sana wakuu! Sikumbuki ni lini nilipata darasa la maana kama hili la kwenye huu uzi.
 
Uwiiiiiiiiiiiiiiiiii
Hi thread inaniumiza sana. Nina a profession ambayo nikiamua kuwa self employed ninaweza kutengeneza kwa kiwango cha chini laki 1 kwa siku. Nimeajiriwa mshahara wangu hauzidi shilingi laki 6. Kweli kuajiriwa ni utumwa. Nimejiwekea malengo niache kazi mwaka ujao!!!!!!!:A S crown-2:
 
mimi nina wazo tofauti kidogo,kila mtu akiamua kuacha kazi na kujiajiri na sote tukawa our own bosses,nani atafanya kazi kwa niaba yetu sasa,hili ni wazo kwa wale ambao wanasita kuacha kazi wanaweza kusanya assets ambazo zitawasaidia baadae,maana si kila mtu anaweza fanya biashara,mfano kama unafanya kazi na unalipwa vizuri na wenzako unaofanya kazi wanatumia pesa ktk kununua vitu kama magari ya kifahari na starehe wewe unaweza kuinvest ktk vitu kama nyumba ukazipangisha,endelea kukusanya assets na hata kama unafanya kazi bado utakua in control of your financial futurepasipo kuacha kazi.
 
ilikuwa poa tu, kuna kamsemo kanasema "its so easy when you do it but so hard when when you are contemplated in advance", its obvious mwajiri alikasirika sababu yeye ndiye aliyenifundisha kazi from fresh graduate. It just make no sense at all mwajiri wako kunifaika sana wakati wewe you cant save a thing due to low salary. Naimani maisha yataenda tu kwa ujasiliamali.
 
Du unanikumbusha nilipotoa 24hrs notes Vodacom ilikuwa 2009.thanks Jesus now Im on my own Bata daily and got nothing to loose
sasa wewe umeambiwa utoe ushauri au experience yako badala yake unatuambia una bata lako pekea ako??
 
Uwiiiiiiiiiiiiiiiiii
Hi thread inaniumiza sana. Nina a profession ambayo nikiamua kuwa self employed ninaweza kutengeneza kwa kiwango cha chini laki 1 kwa siku. Nimeajiriwa mshahara wangu hauzidi shilingi laki 6. Kweli kuajiriwa ni utumwa. Nimejiwekea malengo niache kazi mwaka ujao!!!!!!!:A S crown-2:
sasawakani ili nini? acha ukishasoma hii comment hapa.
hat ukiingiza kwa hasara kila siku 20,000 si hyo laki 6 ulosema mshahara wako haujazidi utakua unayo?
 
mimi nina wazo tofauti kidogo,kila mtu akiamua kuacha kazi na kujiajiri na sote tukawa our own bosses,nani atafanya kazi kwa niaba yetu sasa,hili ni wazo kwa wale ambao wanasita kuacha kazi wanaweza kusanya assets ambazo zitawasaidia baadae,maana si kila mtu anaweza fanya biashara,mfano kama unafanya kazi na unalipwa vizuri na wenzako unaofanya kazi wanatumia pesa ktk kununua vitu kama magari ya kifahari na starehe wewe unaweza kuinvest ktk vitu kama nyumba ukazipangisha,endelea kukusanya assets na hata kama unafanya kazi bado utakua in control of your financial futurepasipo kuacha kazi.
kinachozungumzwa tunapozungumzia kuhusu kuacha kazi sio tu swala la fedha. kuna mambo meni.
uhuru wa maisha yako, kutengeneza ajira kwa vijana/watu wengine, n.k pamoja na hilo la kukuwezesha kumultply kipato.
lakini pia ni dhahiri kua kwa maisha ya kitanzania bado mtu hawezi toka shule akaingia mtaani kufanya biashara au kujiajiri
anahiyaji kufanya kazi atengeneze mtaji. (mtaji sio lazima hela hata kukuza utaala mwako/kujenga profile/pamoja na hela zenyewe) so hawa wanaotoka shule watafanya katika zile positin tunazo resign.
Lakini pia mara nyingi tunaresign ili kwenda mtaani kutengeneza ajira kwa kupitia kilimo/makampuni/biashara/consultance n.k
 
kosa nililolifanya mimi ilikuwa ni kuwashirikisha wanafamilia na marafiki ambao wote ni waajiriwa na hakuna aliye na hata kabiashara ka duka. Mkuu tangulia tupo njia moja.

nilima mpunga kijijini baada ya kukoboa nilipata gunia zaidi ya 50 za mchele niliingiza around ---- 12.2m
niliilima mahindi na kuyasaga nilipata gunia kama 130 za sembe 900 per kg nilipata zaidi ya --------10m
ufugaji wa ng'ombe wa maziwa, nauza lita 1000-1200/= na kila siku napata lita si chini ya 75 ---- naingiza 2.5m kila mwezi--- kwa mwaka ng'ombe wananipa ---27m

ufugaji wa nguruwe kwasasa ninao kama 80 na 8 wana mimba----- kila mwaka natarajia kuuza 150--- roughly let say nitapata around 40m
nalima maharagwe, njugu, matikiti kiasi, maembe nk nayo yanaingiza fedha nzuri sana japo sijui mahesabu yake halisi
Majumuisho
total = 10m+10m+27m+40m= 87mil

ukitoa operating costs profit will be around let say 45m kwa makisio ya chini kabisa na hapa ni baada ya kuibiwa sana mazao ya kilimo na mifugo na hii nguvukazi yangu ambayo haina uaminifu hata kidogo yaani kila nikibadili vijana wa kazi wanakuwa na uadilifu kwa miezi 3 ya mwanzo baada ya hapo matatizo ni yaleyale wizi kwa kwenda mbelee.. watu wameoa, wamejenga kwa jasho langu.
Mkuu hebu angalia hapa maziwa nispokuwepo yanapatikana lita 50-70 nikiwepo mwenyewe na kusimamia ukamuaji zinapatikana lita 90 mpaka 100. Mchele nikiacha gunia 10 nikienda mjini na kurudi kijijini nakuta zimebaki gunia 7 nikiuliza sipati majibu.. inaniuma sana sana.. nataka kwenda kusimamia kazi zangu mwenyewe[
/QUOTE]

mkuu hapo pa bluu umenitonesha kidonda,yaani watu si waaminifu mkuu mim wafanyakazi waliniibia sana mwishowe nikaamua kuajiri ndugu zangu toka kijijini,walipozoea tu mazingira walinitenda sana roho inauma sana lkn sina jinsi.Heri wewe umeamua kwenda kusimamia mwenyewe,mim natamani nikasimamie mwenyewe sbb simuamin tena mtu lakini kwa sasa haiwezekani.
 
Usitegemee kupata chochote kwa kutumia remote, kuna watu nilikuwa nawatumia hela za kupalilia shamba wao wanazila, nikiuliza wanasema palizi imekamilika na hamna tatizo lolote mwisho wa siku mimea inakufa na hasara yote kwangu
 
Unajua kaa ufikili kama kwa mwaka unalipwa mshahara ambao ni 24mil ie 2mil kwa mwezi.
Ushawai fikilia kwa mfanyabiashara how long does it take kupata 24mil tena with minimal stress compared na wewe unayefanya kazi?
Unaweza fanya kazi ya kuajiliwa kwa ajili ya networking na kurundika capital but kuajiliwa ni uhayawani unatumika proportionally ie kazi mingi mshahara mdogo.
 
Mie niliacha kuajiliwa baada ya kusoma kitabu Chenye title "RICH DAD AND POOR DAD" by KI.... Sikumbuki Sawa Sawa mtunzi, kwa wale waliokisoma watanikumbusha, maana nilimpa za wadi rafiki yangu hicho kitabu. Tafadhali naomba usome hicho kitabu, kitakubadilisha sana. Nakumbuka moja ya sentesi zilizonikaa ni kuwa,kuajiliwa ni utumwa na unashindwa kufikiri. Anaendelea kusema, mwajiliwa baada ya kulipa kodi ya nyumba,Maji,umeme na Ada ya shule anajiona ame win. Sasa kinachobaki hakiwezi kumsitiri baada ya kustaafu na wengine hufa kwa ugonjaw wamoyo au bp baada ya hela atakazozipata baada ya kustaafu
Ndo Obama kasema CHANGE. Mabadiliko yoyote lazima yanakuja na mshituko na lazima tukubaliane nayo.
Moja ya usemi wa Warusi" asiyefanya risk asinywe shampeini" yaani shampeini hunywewa baada ya mafanikio. Sasa utafanikiwaje Kama hutafanya risk au mabadiliko.?
Kaka chukua maamuzi sasa hivi, hujachelewa

Mjinga wewe upo kwenye quadrant ipi?
 
kiukweli mada hii imenigusa na kunibadilisha vitu fulani ambavyo vilikuwa vinaisumbua akili yangu nimepata mwanga sasa kutokana na post za wenzangu, Jamani waajiriwa tubadilike na tuwe tayari kukabiliana na changamoto ambazo zipo mbele yetu hakika tutashinda na kuondokana na kuwa tegemezi tu la mwisho wa mwezi, hakika tutashinda tukijituma kwa bidii na nguvu zetu zote tukizielekeza kwenye maendeleo yetu.
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom