Let's share the ideas

Let's share the ideas

de fcb1 fan

Member
Joined
May 20, 2013
Posts
14
Reaction score
2
Nimefanikiwa kufikisha kias cha mil 6 nahtaj kufanya biashara na kuwekeza .... I've some ideas ila naamn bila mawazo na ushauri wa watu wengne naweza ncifike mbali ..nahtaj kujifunza kujifunza kupitia ninyi friends nahtaj idea zenu kama ni wewe unakiasi hicho ungeanzisha biashara gan .......kwa mzingira yeyote mjin na kijijin
 
Bring the ideas you hv, do as to get an help.
 
Kijijini lima tu
tafuta shamba lima tu hata eka 10...haitakuangusha
 
Back
Top Bottom