Mkuu unani let down, tu copy na kupaste katiba ya wenzetu?
who are you?Kweli JF kuna watu na viatu
Ukweli sio kama tuna akiri cc za kukaa na kuandika katiba nzuri kama walivyofanya kenya,mungu ameshatulaani
Ni upuuzi usiomithilika kunakiri katiba ya wenzenu bila kujali mazingira yaliyosababisha wao kuwa na katiba hiyo. Watanzania tuna mambo yetu, mazingira yetu na vipaumbele vyetu. Kunakiri katiba ya kenya ni ujinga tena aibu ya karne.
kama wataondoa kipengele cha uwepo wa mahakama ya kadhi . . . sawa tukopi na ku-paste.
Tanzania We are looking forward in the coming 10 years to be exceptional among the East African Community
So we need our own constitution to prosper on that.
We can use it to add value but NOT copy and paste.
Mkuu, tumenakiri vitu vingi tu toka Kenya, hili la katiba mpya halitakuwa geni.Ni upuuzi usiomithilika kunakiri katiba ya wenzenu bila kujali mazingira yaliyosababisha wao kuwa na katiba hiyo. Watanzania tuna mambo yetu, mazingira yetu na vipaumbele vyetu. Kunakiri katiba ya kenya ni ujinga tena aibu ya karne.