Let's dedicate a love song for each other

Tonight I celebrate my love......Peabo Bryson

Endless love..... Lionel Richie vs Diana Ross

Vipi tudadicate na wine za kuusindikizia😜
ushushie na hizi
missing you - diana rose
love n beast - nimesahau muimbaji
 
Kilimanjaro

I just wanna stay like Kilimanjaro mountain, sinoni daraja mbili...
I just wanna stay like Kilimanjaro mountain, Arushaa...
I just wanna stay like Kilimanjaro mountain, Tanzania babyy...
I just wanna stay like Kilimanjaro mountain, Africa I'm african.......
 
Nilishawahi kumpenda dada mmoja muimba kwaya kipindi icho walai tena kama angenikubali leo hii ningekuwa muimba kwaya na mm.

Wanawake wote wa mbeya mbarikiwe kwa ulokole wote mlio nao
 
1.Alan Walker ft.Emma steinbakken_-_Not You Joannah
2.Marshmello_-_happier All JF members & Joannah
3.Arash ft. Helena _-_One Day Joannah
4.Alan Walker _-_alone & alone pt.II
5.WIMBO WA TAIFA LA TANZANIA @everyone
 
🤣🤣🤣😅 Huo wimbo no Tano...nao ni love song?!!!
Thank u very much Kwa def kalikali....am humbled
 
Lov me...by Colin's laye
Yamto Sana hii
Keny Rodgers LOVING ARMS.. hii unaweza sinzia
Phil Collins against all odds...weeee
 
Nilishawahi kumpenda dada mmoja muimba kwaya kipindi icho walai tena kama angenikubali leo hii ningekuwa muimba kwaya na mm.

Wanawake wote wa mbeya mbarikiwe kwa ulokole wote mlio nao
Tunashukuru sana, naona ndugu yetu alitaka kutuwakilisha vema, vipi hukumwambia ukweli wa moyo wako huenda angekukubali jamani😀
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom