Lets critisize ourselves | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lets critisize ourselves

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mtazamaji, Aug 17, 2010.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Aug 17, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Wanajamvi
  Mara nyingi tunaongelea mafanikio na mapungufu ya mashirika, viongozi wetu wa siasa dini, ofisi. Tunaongea matatatizo yakwenye mahusiano. Je sisi tuna ujasiri za kujitazama kwenye kioo?

  Naomba tujiulize hili swali na kujibu japo kwa ufupi.
  1. Je mimi binafsi najiona nina mapungufu au udhaifu gani?

  Binafsi mapungufi au udhaifu nilionao ni
  • Naweza kutoroka au kuhairisha kazi sababu ya kideti na msichana
  • Naogopa kuonekana mbaya mbele ya marafiki zangu kwa hiyo sa nyingine siwi mkweli kwao.
  Wewe je ?

  Karibuni kwenye hii self weaknessmeter
   
 2. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #2
  Aug 17, 2010
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Hapo kwenye red ulitaka kumaanisha "kuahirisha"? Au?
   
 3. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #3
  Aug 17, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Unaona sasa Mtazamaji,badala ya kujikosoa anaanza kukukosoa wewe.Na mimi sijikosoi,namkosoa babuyao kwa kukukosoa wewe.Lolz!
   
 4. Makanyaga

  Makanyaga JF-Expert Member

  #4
  Aug 18, 2010
  Joined: Sep 28, 2007
  Messages: 2,498
  Likes Received: 127
  Trophy Points: 160
  Hoja yako nimeipenda sana,....,turudi kwetu sis wenyewe kwanza kabla hatujakimbilia kwenda kumponda Mtikila, au RA, n.k. Ni hapo tu patakapokuja kutuonyesha njia ya baadaye. Wewe unafanya vitu vimefanana fananaje? Mimi je nafanyafanyaje?
   
 5. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #5
  Aug 18, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Jamani tujaribu kutaja hata weakness za uwongo basi. au tujivike weakness za wengine. najua hapa itakuwa rahisi. Tutaje weakness za wafanyazi wenzeti, wapangaji wenzetu, viongozi wetu. Tukipata mlolongo wa weakness tunaweza kujitazama katika zilizotajwa zipi zinatuhusu. But hii thread inaweza kukupa picha kwa nini soory ni gumu miongoni mwetu hasa kwa wanasiasa. Kwa nini wengi wetu hatukubali kujikosoa na mbaya zaidi hatupendi kukosolewa. sisi wana jf tukiwa wanasiasa wa au viongozi wa jamii kesho ni yale yale. Je unaweza kuwa mme/mke bora nyumbani, mkazi mzuri mtaani, mfanyakazi bora zaidi ofisini, meneja mzuri zaidi , kiongozi mwenye maadili kwenye ngazi mbali mbali bila kutambua mapungufu na matatizo yako? To be better and even more better we need to identify our weakness and work on them.
   
Loading...