Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,666
- 208,787
Kuwa single sio shidaAn easy life 👏
Shida sio wote wanaweza kubaki single
Kwanini furaha yako itokee kwenye mahusiano? Kwamba yasipokuwepo unabaki na mood mbovu 24/7!!?
Hapa nilipo natafuta namna ya kumuacha mtu nakosa 😂😂