ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 19,461
- 71,047
Kati ya ulizotuma?Ngoma ipi umeipenda leo?
Kati ya ulizotuma?Ngoma ipi umeipenda leo?
NdioKati ya ulizotuma?
Ukituma zingine nitajua, nakosa jibuNdio
Ngoja kwanza upate bandoUkituma zingine nitajua, nakosa jibu
Sawa tajiri☺️Ngoja kwanza upate bando
😂😁😁Huwa nasikiliza! Ila Vincenzo Jr zingine huwa sisikilizi anatuma nyimbo 50 na bundle langu la jero
Mkuu
Kwema kakaMkuu
Meek huwa naelewa sana ngoma zakeNyimbo Kalii sana 😎
Kuna Moja yuko na davido ilitamba sana 2015Meek huwa naelewa sana ngoma zake
Ipi kaka 😂 😂 😂Vincenzo Jr lipa hiyo ngoma