Karma marudio ni saa 6 usiku, saa 2 asubuhi au saa 12 jioni
Nimekosa uhondo lol!!Karma marudio ni saa 6 usiku, saa 2 asubuhi au saa 12 jioni
Jaikyungu ameshajua kaka ake sio mtoto wa Daebook leo anaenda kumwaga mchele na Sunwaha ashajua jaikyungu sio mtoto wa Daebook
Mama mtu ameshazinduka!
Ipo mwishoni, sitaki iishe ni nzuri
Unajisikiaje kua mweupe kama papai🙄
Chunusi tatizo 😁😁😁Unajisikiaje kua mweupe kama papai🙄
Mbona mimi sijaziona?🙄Chunusi tatizo 😁😁😁
Nani kakunyima?Wewe nimenyimwa kuweka 😁😁