Lets change, lets change right now

chinatown

JF-Expert Member
Mar 25, 2015
1,215
1,084
Watanzania wenzangu tumetoka mbali sana,na bado tuna safari ndefu sana,tusiangalie tulikuwa tunafanya nn nyuma.Tuanzie hapa kubadirika.kuna mambo mengi saana yananikera saaana hapa nyumbani tuanzie kwa wasomi tumia elimu yako kuwaelimisha watu mambo yafuatayo;

1. Kupanga foleni kuingia kwenye daladala

2. Kupanga foleni kupata huduma madukani,hotelini na sehemu kama hizo

3. Kutunza mazingira yetu kwa kutotupa takataka ovyo

4. Kupenda kazi zetu ,kwa kufika kazini mapema kuhudumia wale wenye kuhitaji huduma yako kwa ufanisi

5. Kuwa na lugha ya laini ya matumaini kwa wale unao wahudumia haijalishi wana hasira au stress zao kwa kufanya haya nadhani tutapiga hatua ya civilization kwani tunaishi kama wanyama hapa mjini
 
Back
Top Bottom